Shamba Linauzwa

Nov 23, 2010
31
0
Ndugu wana jamiiforums na wengineo,
Kuna shamba la ekari 10, kati ya hizo hekari 3 ndizo zinauzwa. Liko eneo la VIANZI karibu na shuke ya secondary mpya inaitwa VIANZA. Linapakana na hiyo shule ya secondary. Vianzi ni makazi mapya yanayoendelea kwa kasi sana nje kidogo ya mji wa Dar es Salaam kuelekea barabara Mkuranga. Eneo hili lipo mbele kidogo baada ya kupita Kongowe. Ni maeneo tulivu na yanafaa kwa maendeleo.

Kwa mawasiliano zaidi kwa wale walio serious kibiashara;
Ni- PM hapa hapa Jamiiforums
Au piga simu number 068797425
Au email: jorammsafiri@yahoo.com
 
Malila

JF-Expert Member
Dec 22, 2007
4,666
2,000

kAMA NI VIANZI NAOMBA UWAELEKEZE WADAU KAMA IFUATAVYO. uKITOKA MBAGALA/KONGOWE KAMA UNAKWENDA MKURANGA,UKIFIKA VIKINDU PALE CHEKI POINT INGIA KUSHOTO KAMA KM 7 HIVI UTAKUWA UMEFIKA VIANZI. KWA MTU MGENI HAWEZI KUFIKA VIANZI KWA SABABU VIANZI HAIKO KTK BARABARA YA KWENDA MKURANGA
 
TzPride

JF-Expert Member
Nov 2, 2006
2,616
2,000
Ni maeneo yanayofuatia kupimwa baada ya Tuangoma, so jianandae kupata fidia sio mda mrefu pia
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom