Recent content by Mchaga mjanja mjanja

  1. M

    JamiiForums Tanzania I'm looking for my life partner

    Asiwe anatoka makabila ya pwani kwann,kwan wanaotoka ukanda huo sio watu???
  2. M

    JamiiForums Tanzania Mpenzi wa zamani wa msichana wangu karudi, anasema niachane nae

    Kama mzigo ushakula,ww mpotezee tu...,mademu kibao tu wapo..
  3. M

    JamiiForums Tanzania Bongo movie aibu tena

    Vp na TFF wakitaka na mipira ya nje ifungiwe ili watu tuconventrate na ligi kuu ya bara??
  4. M

    JamiiForums Tanzania Usithubutu Kumpoteza Mwanamke/mpenzi Wa Kinyakyusa

    Hamna kabila TZ hii kwa upande wa wanawake litafikia sifa nzuri walizonazo wanawake wa kichaga,msijidanganye,hao wanyakyusa ni chenga yaan ni bora hta uoe mzaramo ujue moja...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu anapenda ninavyovuta sigara

    Subiri akishajifungua,uache hzo sigara,yy kitisho chake c atatoa hyo mimba??,xxa akishajifungua hana ujanja tena wala mkwara wa kupiga
  6. M

    JamiiForums Tanzania msaada pesa kushikiliwa katika akaunti yangu ya CRDB

    Nenda kwny tawi lolote la crdb,watakutatulia tatzo hlo,usikae nyumbani usubir hyo hela irudi,waweza kujikuta unaipoteza kabisa.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Kugegeda mara1 kwa wiki

    Huyo mkeo atakuwa anachepuka,fuatilia kimyakimya utajua ukwel.
  8. M

    JamiiForums Tanzania Picha: Riyama anaswa "LIVE"

    Jamani,mwenzenu ndo ameshapenda na kutangaza nia,kila mtu ana uhuru wa kuwa na mpenzi amtakaye....
  9. M

    JamiiForums Tanzania Original Transcend External Hdd for sale ikiwa na movie ZAIDI YA MIA MOJA

    Mm nna 70000 cash,hzo muv futa tu,nahitaji external hyo ikiwa empty.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Nauza kiatu kipya, Safari Buti, elfU 20 tu

    Hahahaahaaahaha....
  11. M

    JamiiForums Tanzania Naweza kumuoa huyu?

    Huyo demu ameshakufanya ndondocha ww...mwanamke ushaweka msimamo wa kumtakia maisha mema na mumewe..leo hii unamkaribisha geto kwako..kwanza alipajuaje kma hukumuelekeza mwenyewe??
  12. M

    JamiiForums Tanzania Huawei Y300 ni janga

    Hzo cm ukinunua zle feki za kariakoo umeumia....y300 zilizokuwa zinauzwa na tigo mwanzoni kbxa zilikuwa ni jembe balaa.....
  13. M

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa mke wangu amenishinda, anaelekea kuvunja ndoa yetu

    Mtoto wa nyoka ni nyoka...si ajabu baba wa huyo mtoto alikuwa teja au kibaka...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Nimetembea na mama na binti yake

    Hii ndo ile muvie unayojiandaa kushoot??
  15. M

    JamiiForums Tanzania Vivazi vya manesi, nafuu kwa wagonjwa....

    Mkuu umewasahau pia na matrafiki wa kike, baadhi yao nguo wanazovaa, unaweza kujikuta unaingiza gari porini kwa kuvutiwa na kushangaa....
Back
Top Bottom