Naweza kumuoa huyu?

Naweza kumuoa huyu?

Hiyo hatari nishaiepuka mpaka hapo... si msichana wangu wa kwanza na nishawah kuwa na mahusiano na wasichana wengi tu kaka wala usiwaze... kitu cha kijinga nilichokuwa nataka kukifanya kwa huyu ni kulipiza kisasi kwa mumewe but nimeona si jambo la kistaarbu na ukwel nampenda na ni wife material haswaa lkn kwa jins ilivyo itanbid niache mchezo huo...

mkuu hakuna wife material ila kuna kichaa material..
 
dah! Unanisikitisha sana mkuu!
Hivi ni nini hasa kimekukumba?
Yaan mke wa mtu tena aliyekusaliti anakuendesha hivyo?

Unatudhalilisha wanaume wenzako mkuu

aisee! Napata picha flan hivi:
umewahi kuwa na uhusiano na wanawake wangapi?
. Nafkir hujawahi kutamkiwa neno nakupenda kutoka kwa mwanamke na huyo ni wa kwanza ndio maana unadata.

Kuna hatar inakufuata ww endelea kujifanya unapendwa wakat anakukejeli

Baba hapa kidogo umeongea...sio kuropokaropoka na kudhalilisha watu ndio maana watu wanaogopa kuposti mambo yanayowakabili
 
Huyo demu ameshakufanya ndondocha ww...mwanamke ushaweka msimamo wa kumtakia maisha mema na mumewe..leo hii unamkaribisha geto kwako..kwanza alipajuaje kma hukumuelekeza mwenyewe??
 
Huyo demu ameshakufanya ndondocha ww...mwanamke ushaweka msimamo wa kumtakia maisha mema na mumewe..leo hii unamkaribisha geto kwako..kwanza alipajuaje kma hukumuelekeza mwenyewe??

bro alikuwa anapajua kabla hata ya kuolewa niliwah kuishi nae kipind flani... yeye hakuwah kuniambia hivo bali mim ndio nilimwambia...
kumbuka nimembikir ndio maana ananisumbua vile... ila saiv nimeamua kuacha hii mambo
 
Niko kwenye game tangu 2002 asee kwa ivo cna udogo ijapokuwa yeye ndio mdogo wa 1992 si mdogo huyo... so ilikuwa tu hasira ya kunyanganywa

Unaongelea kunyang'anywa?! Siku hizi kawaida tu kupigiwa. Ila wewe ndo unataka kumpigia mtu, kumbuka chamtu mavi.
 
sidhani kwahatua zote mwanamke alizo pitia mwenye akili timamu anaweza hata kukaa nae get co Burr naona dalili za MTU kushikwa masikio
 
Habari wana MMU

Kwanza naomba mnivumilie kwa maelezo marefu.

Anaitwa Romana ndio ninayemuongelea nimekaa naye kwenye mahusiano tangu akiwa form one mim nikiwa form six by then...2009. Tulikuwa tunapendana sana tena sana... japokuwa alipofika 2011 akawa kama amebadilika kipindi hicho mim nilikuwa Chuo DSM yeye yupo Form three MWANZA huko.

Taarifa hizo nilikuwa napewa na rafiki yake kwamba siku hizi anatembea na wanaume wengine japo anasema bado ananipenda. mim nikawa nimechukulia ujana unamsumbua nikamvumilia. sasa huyo rafk yake akawa kila muda anatoa hizo taarifa baadae nikamwambia huyo Romana akakana tena nilivomwambia nineambiwa na rafk yake alitaka hadi kujiua kwa kusingiziwa nakumbuka alikaa wik 2 bila kwenda shule had nikawa naogopa. Bas tuliyaongea yakaisha.

Bahati nzur au mbaya alivomaliza form four alikuja huku DSM kwa mjomba wake kwa hiyo akawa anakuja geto nakumbuka kimbindi hicho nilikuwa nakaa Riverside yeye Majumba Sita (kwa mjomba wake) hiyo ilikuwa 2013. kipindi hicho mim nilikuwa mwaka wa nne chuo. Basi saa zingine alikuwa anakuja tunakaa nae getto kwa siku hata mbili au tatu mfululizo yaan anakuwa amedanganya kwa mjomba ake kwamba anaenda kwa shangaz yake mbez.

Baadae matokeo yao yalitoka akawa kapata IV kwa hiyo hakufanikiwa kuendelea akawa kataftiwa chuo akawa anasoma certificate... katika kusoma huko akawa kapata bwana bhana... mim nikawa nashangaa mawasiliano yamepungua nikijua labda mwenzangu kawa busy na masomo.kwa hiyo sikujal sana... bas nilikuwa nafanya final project ikabid nijikip busy as well.

Baada ya kumaliza chuo nikamuita akaja nikamuulza kwa nn amepunguza nawasiliano akadai mim ndio chanzo kwa kuwa simtafti bas tukayaongea yakaisha... mim nikawa nimemuaga kwamba narud Mwanza kwanza then nitakuja DSM kutafta kazi.

Ilikuwa mwez wa 9, 2013 nilirud DSM kabla sijarud namba yake ikawa haipatikani nikawa naitafta bila mafanikio... nilivofka DSM nikaenda kwa mjomba wake, lkn sikumkuta nikamkuta rafk yake ambaye alinieleza kuwa Romana keshaolewa... yaan niliishiwa hadi nguvu... basi nikawa natafta namba yake bila mafanikio ili nijue sababu za kuniacha... baade nikasikia yupo Mwanza kwao na ana ujauzito.. hiyo ilikuwa 2014 sikutaka kuamini ila huo ndio Ukwel. bas nikawa nimekata tamaa na Romana.

Siku moja nikakutana naye mnaz mmoja hospital akiwa anakaribia kujifungua, nilimuulza ilikuwaje akasema shetani, nikamuulza kwa iyo ushaolewa akadai anakaa naye tu lkn hajajitambulisha kwao basi nikamtakia maisha mema. huku roho ikiwa inaniuma kwa kuwa nampenda.

Bas ikawa hivo sasa cha kushangaza alikuja siku moja akanipigia simu ya kukir kwamba alifanya makosa na akawa anasema mimsamehe, nikamwambia nishasamehe, akdai eti anaishi na mwanaume ambaye hampendi na hawez kuishi na wakati upendo wake uko kwangu eti nimsamehetu turudiane anajuta kwa nin alifanya hivyo.. nahiyo ilikuwa baada ya kuaukia kuwa nimeajiriwa... mim nikamwambia kwa kwel aendelee tuna mumewe, bas akawa ananisumbua hivo hivo mim baadae nikahamiahwa kikaz nikaenda Dodoma, akaendelea kunisumbua bas nikamwambia sawa, mwez uliopita nimerudishwa hapa DSM tena sasa ndio imekuwa taabu zaidi.

Tangu nirudi amekuwa akitoka kwa bwana yake anakuja kwangu sasa kwa kwel mim nimeshaanza kuogopa... dhumuni lake aivunje ndoa yake ati mim nimuoe, sasa nafikiria kama vile nimejifunga mim mwenyew kumpenda sawa nampenda lkn itakuwaje? Nitaweza kumuoa kwel mtu wa namna hii, na mpaka sasa imefkia hatua anashindwa kukaa kwake eti kisa mumewe hajajitambulisha kwao jaman is it fair? halafu mbona siku hizi nikimuona yaan anachoongea nakubaliana naye kulikoni? nahitaj ushaur kabla sijafanya uamzi wa kijinga.. nampenda sawa lkn ana mtt wa ntu nabado anaishi na huyo mtu japo hajajitambulsha..

Kingine mama yake hataki atoke kwa bwana yake huyo... hajajitakbulisha sawa lakin wazaz wanajua anaishi na bwana kiukwel huwa nataka ninwambie aendelee kuishi naye mume wake nashindwa kwa kuwa nampenda... lkn naona siwez kumuoa sa itakuwaje..? nitatembea na mke wa mtu mpaka lini? nifanyeje nimuache mbona nakuwa sina maamuz juu yake???

naombeni ushaur wenu

POLE SANA... I understand how it feels bro.... Nimependa kitu kumoja toka kwako... You are so real. Story nzima inajieleza wazi kabisa kuwa ww ni mtu wa aina gani... LOVE is a precious thing.. Its a gift. Am telling you, not everybody knows how to handle it... Hata humu kwa wengi unaonekana mjinga kwa sababu ya Ku miss understand the whole subject of Love there fore to them you are also not understood.... Lkn ukweli ishu iko sensitive na inahitaji ushauri wake uwe waangalizo sana ili usije kuwa confused zaidi au kuumia zaidi... Ila naamini kidogo kidogo kwa kupitia michango ya wanajukwaa, utapata kitu kitakachokufaa... Na ukweli ni kwamba unachopaswa kufanya ktk hili jambo kipo wazi kabisa, lkn kwa sababu you are dealing with the state of the heart, ndio maana inahitajika umakini sana, just take it slowly utafikia maamuzi sahihi tu.. ALL THE BEST!
 
so much class in your opinion... thank you so much bro...
 
Uko vizuri sana kaka..

Ni watu wachache sana wenye uelewa na mtazamo wa kuchanganua mambo kama Wewe hapa JF now days.. I appreciate that.
 
Back
Top Bottom