Usithubutu Kumpoteza Mwanamke/mpenzi Wa Kinyakyusa

Usithubutu Kumpoteza Mwanamke/mpenzi Wa Kinyakyusa

Wanyakyusaaaa!!!ni kabla no.Moja kwa ukarimuu Tanzania sema hawapendi madharau...mwanamkee Wa kinyakyusaa akikupendaa hata kodi atalipaa yeyee ila ukijifanya hamnazo mfano mlevi mvivu..mhuni haaa haaa utahama nyumba..heshima ndo anachopendaa woote mbaiwaponda wanyakyusaa hamuwajui..au ndo ile kugeneralize kwa mmoja wawili ambapo kwa makabilaa yoote mtakuita izo kasoroo...sifaa za wanyakyusaa...ukifiwaa wataubeba msiba wakoo utafarijiwaa wewe nakwambia ulizieni...ukizaa mtoto jamani utaletewa kila aina ya Chakula kwenye maharagwe mahindi mchele unga ilimradi kumjaribishaa mgeni..sasa mnaraka wawejee ukiwazingua obviously watakuzingua ila ukienda nae sambamba utaenjoy kama UPo heden...hata wanyakyusaa wakikutana ugenini au nchi nyingine lazima waunde umoha Na kuigeuza Tukuyu sehemu ile Na wakarimu Wa wageni au wenyeji watakaowakuta....ila sema kinginee Wameumbikaa jamani wamefungashaaa!!kwenye sura nzuri wakoo Na ya wastan wapooo....kwanza Mkoa wao full of foods..Shida ya ni ninii wametoka kwenye Neema!! Imbaragaa matokee mambatata....Wanyakyusaa thumb up!!!!!
Teh teh Dada umeolewa unyakyusani bila shaka,karibu wifi ...
 
Hivi huko matombo kuna shughuli yoyote inafanyika kutokana na jina lake? kwa mfano kwa bibi nyau anafuga sana paka, kwa mfuga mbwa kuna jamaa anafuga mbwa wengi sana, buguruni malapa wanauza kandambili....
Teh ndo kusema inafanyika shughuli gani?

Nilivyosikiaga +kusoma ni kwamba "matombo" maana yake ni matiti ya mwanamke. Kuna mawe yaliyogunduliwa huko mapangoni yapo kwenye shape ya matiti ya mwanamke, ndo hiyo sehemu ikaitwa matombo.
 
Wanyakyusaaaa!!!ni kabla no.Moja kwa ukarimuu Tanzania sema hawapendi madharau...mwanamkee Wa kinyakyusaa akikupendaa hata kodi atalipaa yeyee ila ukijifanya hamnazo mfano mlevi mvivu..mhuni haaa haaa utahama nyumba..heshima ndo anachopendaa woote mbaiwaponda wanyakyusaa hamuwajui..au ndo ile kugeneralize kwa mmoja wawili ambapo kwa makabilaa yoote mtakuita izo kasoroo...sifaa za wanyakyusaa...ukifiwaa wataubeba msiba wakoo utafarijiwaa wewe nakwambia ulizieni...ukizaa mtoto jamani utaletewa kila aina ya Chakula kwenye maharagwe mahindi mchele unga ilimradi kumjaribishaa mgeni..sasa mnaraka wawejee ukiwazingua obviously watakuzingua ila ukienda nae sambamba utaenjoy kama UPo heden...hata wanyakyusaa wakikutana ugenini au nchi nyingine lazima waunde umoha Na kuigeuza Tukuyu sehemu ile Na wakarimu Wa wageni au wenyeji watakaowakuta....ila sema kinginee Wameumbikaa jamani wamefungashaaa!!kwenye sura nzuri wakoo Na ya wastan wapooo....kwanza Mkoa wao full of foods..Shida ya ni ninii wametoka kwenye Neema!! Imbaragaa matokee mambatata....Wanyakyusaa thumb up!!!!!
Kumbe
 
Nishawahi kuwa na demu wa kinyakyusa nilimpendea ile injini ya pale nyuma ilivyokuwa kubwa sasa kunasiku akanikuta na kamchepuko kangu ka kipare hapo gheto duh yule demu alikuwa mbabe aisee sio kwa yale mabanzi mpare wa watu aliyachezea mpaka nawaachanisha alikuwa kalowa kwa nakozi na mimi full kutishiwa na kimwili changu nikapoa demu mbabe kama Van dame ila likuwa mtaaamu sana kwenye maswala ya mgegedano.
Daaah yani kila nikikuta watu wanaongelea wanyaki, huwa nakumbuka hiki kisa chako nachekaaaa
 
dharau tunazo kabisaa tena mimi mmoja wapo na kazi tunafanya vizuri ndoa tunavunja kama wewe mwanaume suruali mbona utaisoma lakini kuna aina mbili za wanyakyusya wa kyela na wa tukuyu wa kyela ndio tunaongoza kwa dharau wa tukuyu wapole sana halafu pia tunapenda sana shule tunaweza tukawa tupo top 3 kwa makabila yote.ila wanyakyusa wakarimu sana sana sana.
Eti dhalau! juu ya nini? Ka nyama tu ambako si hata robo? Hiyo papuchi tu ndo inawafanya muwe na kiburi!
 
Hamna kabila TZ hii kwa upande wa wanawake litafikia sifa nzuri walizonazo wanawake wa kichaga,msijidanganye,hao wanyakyusa ni chenga yaan ni bora hta uoe mzaramo ujue moja...
 
Kila utakachonnunnu atahitaji uandike jina lake . Hawa maharage mara moja atakuletea wanaume mpaka nyumbani. Fedha zake akatafutie kuleee heshima kwanza kHAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA
 
Japo sura zao ngumu (kama za Baba zao) lakini wengi wamejaliwa WEZERE (TUNGAMO) na watundu sana kitandani tofauti na WACHAGA (Samahani lakini)
 
Back
Top Bottom