Recent content by mchaga asilia

  1. M

    JamiiForums Tanzania Malipo ya motor vehicle-road licence, msaada kwenye tuta

    habarin za jion. Naomben kwa yoyote mwenye kujua jins ya kulipia motor vehicel-road licence kwa njia ya mitandao ya sim anisaidie...maana nlienda tra kulipia wakaniambia mfumo sasa umebadilika,unalipia kupitia kwenye sim.ahsanteni.
  2. M

    JamiiForums Tanzania DAWASCO na maji Kimara

    This is too much now, fungueni bhas hayo maji na sis wa KIMARA SUCA tupate maji bhaas...... Meneja na watu wako, mko hapo ofisin kwa niaba ya watu na sio kwa ajil ya matumbo yenu. Tukichoka kulalamika tutaandamana nafkir hapo mtaelewa jinsi maji yalivyo na umuhimu kwa maisha ya watu.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Wizi huu DAWASCO hadi lini?

    unit moja ni 1130
  4. M

    JamiiForums Tanzania Tatizo la maji Kimara

    Habari ndugu zangu. Nimevumilia sana ila uvumilivu umefika kikomo. Mimi ni mkazi wa Kimara suca. Jaman hatujapata maji haya ya DAWASCO unakwenda mwezi wa pili sasa. Napata mashaka na kujiuliza hivi 'maji sasa imekua ni bidhaa na si huduma tena kama zamani? Je hawa wanaojiita DAWASCO ni...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Samsung galaxy i577 inauzwa

    ndopaaaa
  6. M

    JamiiForums Tanzania Msaada juu ya hospitali ya Hindu Mandal

    Jaman habarini...naombeni msaada juu ya gharama za matibabu pale hindu mandal hospital including gharama ya kufungua file na vipimo maana kuna mgonjwa wangu nampeleka pale kesho ili nijiandae.mungu awabariki sana.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Bifu kat ya dawasco na kimara suca

    Hellow wandungu...nafkir inabid ifike wakat sasa tuwe makini na watendaji kuliko kuwa wanasiasa hasa kwenye huduma za msingi za jamii.Yapata kama mwezi sasa wananchi wa kimara suca wamekua hawapati maji ya dawasco kupitia mradi wa 'mabomba ya wachina'ambayo kimsingi huwa yanatoka kila...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Kila nnapokaribia kumwaga anachomoa na kuibana kisha ananidai vitu vya thamani!

    fikirisha kichwa mjini hapa.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Wahaya tunachunguzwa sana katika mapenzi, why?

    polen sana ndo ukubwa huo...historia inawahukumu jamaa..sio wanaume tu hata wanawake...mnaogopeka sana nyie.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Ugonjwa wa homa ya matumbo (Typhoid) na tiba mbadala

    wanandugu mim nilipata kwa mara ya kwanza typhoid mwaka juz mwishoni...nilienda hospital na kupata dawa..tangu kipind hicho kila nikipima nakutwa na typhoid..na kama wik na nusu iliyopita nilienda hospital kupima na kukutwa na typhoid..nilimueleza daktar historia ya ugonjwa wangu..akashauri...
Back
Top Bottom