Malipo ya motor vehicle-road licence, msaada kwenye tuta

mchaga asilia

Member
Joined
Apr 21, 2013
Posts
10
Reaction score
0
habarin za jion. Naomben kwa yoyote mwenye kujua jins ya kulipia motor vehicel-road licence kwa njia ya mitandao ya sim anisaidie...maana nlienda tra kulipia wakaniambia mfumo sasa umebadilika,unalipia kupitia kwenye sim.ahsanteni.
 
Kwenye simu utasumbusuka sana, Nenda kalipie kwa kutumia Max Malipo, tena nenda kibanda ambacho kipo karibu na ofisi za TRA, itatumwa sms kwenye simu yako ikikutaka ukachukue Road licence kwenye ofisi ya TRA iliyo karibu nawe. Kama hakuna tatizo la mtandao ni ndani ya nusu saa kutoka kulipia hadi kuchukua hiyo karatasi.
 
Halafu hao TRA mataahira, walipaswa wamwelekeze namna ya kufanya siyo kutoa majibu rahisi tu kwa mteja matokeo yake mtu mpaka aanze kuuliza ktk mitandao. Halafu tunalipia na hela ya kifaa cha fire matokeo yake hawatupatii
 
Back
Top Bottom