mchaga asilia
Member
- Apr 21, 2013
- 10
- 0
Hellow wandungu...nafkir inabid ifike wakat sasa tuwe makini na watendaji kuliko kuwa wanasiasa hasa kwenye huduma za msingi za jamii.Yapata kama mwezi sasa wananchi wa kimara suca wamekua hawapati maji ya dawasco kupitia mradi wa 'mabomba ya wachina'ambayo kimsingi huwa yanatoka kila jumatatu.ila huduma hii imekosekana na imekua bidhaa adimu yapata takribani mwezi na nusu..je kuna ugomvi wowote kat yao na wananchi?..je ni ile miradi ya magar ya maji ya wakubwa wa dawasco...au na hili linahitaji maandamo na kuundiwa tume ya uchunguzi.
?MAJI NI UHAI...
?MAJI NI UHAI...