HAZINA YETU
Senior Member
- Mar 29, 2013
- 174
- 33
Hampiti kusoma bili munatukadilia tu,matumizi yangu ya maji kawaida sana ila bili haipungui 50000/month.Huu ni uhuni..!
Mi sina hamu nao hao
unit moja ni 1130
Hampiti kusoma bili munatukadilia tu,matumizi yangu ya maji kawaida sana ila bili haipungui 50000/month.Huu ni uhuni..!
kuna wakati maji hayakutoka mwezi mzima home, bili ikaja kama ya miezi mingine.
Ile bili haikulipwa hadi meneja akaja kuverify na akagundua ni kweli
dawasco wana charge lt 1000 inakuwa sh 1200 per meter cubic mkuu....ila hapo bila vat