Recent content by mbwangali

  1. mbwangali

    JamiiForums Tanzania Matajiri wa mabasi wanapaswa kuwafukuza kazi madereva wote walio gomea kuendesha magari yao

    Kwahiyo unadhani madereva wamejiamulia tu bila kuwashirikisha hao maboss wao!
  2. mbwangali

    JamiiForums Tanzania Unadhani ni couple gani hapa ina furaha?

    3
  3. mbwangali

    JamiiForums Tanzania Aliyekuwa member wa Sauti Sol, Willis Chimano, amtambulisha Boyfriend wake!

    Kitambo sana huyo
  4. mbwangali

    JamiiForums Tanzania Ulishawahi kutapeliwa na member wa JF? Ilikuwaje?

    Mh
  5. mbwangali

    JamiiForums Tanzania Ulishawahi kutapeliwa na member wa JF? Ilikuwaje?

    Tupe mbinu mkuu tukomeshe wadwanzi
  6. mbwangali

    JamiiForums Tanzania Ulishawahi kutapeliwa na member wa JF? Ilikuwaje?

    Na ulozi wote ulishindwa kufanya namna jamaa arudishe hela 😄😄
  7. mbwangali

    JamiiForums Tanzania Niwafanye nini hawa watu..?

    Vipi wanawake mkuu wao huridhika na mwanaume mmoja?
  8. mbwangali

    JamiiForums Tanzania Bwashee kwa totozi za humu ukishawahi jizolea?

    Dah hii kampeni itawatoa povu baadhi ya dada zangu hapa 😄😄
  9. mbwangali

    JamiiForums Tanzania Ushauri tafadhali

    achana nalo bwashee usijepata gono sugu na usilijibu maana mwanaume kuanza kubishana na mwanamke tena TUKUNYEMA ni matumizi mabaya ya uanaume
  10. mbwangali

    JamiiForums Tanzania Hahaha tukipotea humu tusiyafutane😃

    😄😄"Anaetaka msaada hasa wa KIFEDHA" imekaa kimkakati sana
  11. mbwangali

    JamiiForums Tanzania Hahaha tukipotea humu tusiyafutane😃

    Hiyo paragraph ya mwisho ni nzito sana bwashee
  12. mbwangali

    JamiiForums Tanzania Selfika na JF: Snap it. Show it

    Ujinga uendelee tu maana kuna wakati unatusaidia kupunguza wenge
  13. mbwangali

    JamiiForums Tanzania Lissu anaogopa kunyongwa ndio maana anajitetea siku tatu mfululizo

    Kama angekuwa na makosa basi mngeshamnyonga siku nyingi sana
  14. mbwangali

    JamiiForums Tanzania Mh.Tundu Antipas Lisu akihukumiwa kunyongwa hadi kufa hadharani lazima vita itatokea Tanganyika.

    Hukumu hiyo haiwezi kutoka kamwe
Back
Top Bottom