Recent content by MbwamboE

  1. MbwamboE

    JamiiForums Tanzania Wanao nunua wanawake wapo sahihi zaidi kuliko walio kwenye mahusiano

    Oya we hyo familia kubwa"kula tule"
  2. MbwamboE

    JamiiForums Tanzania Maskini Ufaransa. Game imeshamalizwa hii. Morocco kapita mpaka sasa tumemaliza mazishi

    Wakuu mda bdo unaruhusu yangu👀
  3. MbwamboE

    JamiiForums Tanzania Toka nijiunge JF sijapata wa kum-cc humu wenzangu huwa mnawapataje

    Nenda kwenye zile app mwenet mbon Kam wote
  4. MbwamboE

    JamiiForums Tanzania Natongozwa sana kazini, halafu ni walionizidi umri

    Acha sifa,sifa hazina maana
  5. MbwamboE

    JamiiForums Tanzania Nimehudhuria ndoa ya single maza, pilau tamuuuuuu

    🤣🤣wew acha soga
  6. MbwamboE

    JamiiForums Tanzania Naungana na Wazanzibar kuwa huduma za matibabu Zanzibar ziwaguse Wazanzibar tu na mtu ambaye si mzanzibar atibiwe kwa utaratibu mwingine

    Wakuu ni kwel kuwa hatuna elimu juu ya muungano wetu ndomaan ni Ngumu kwetu kuelew haya majambo yanayoendelea ila Kuna kitu nachokuona kutoka kwa viongoz wetu wanakosea sana naman yakuuongelea huu muungano mfano wanatumia manen makal pia hawana kauli thabiti kwa wananchi wao hvyo kupelekea matabaka
  7. MbwamboE

    JamiiForums Tanzania Majuto ni Mjukuu: Nimehonga Tsh. Milioni 1 ili nipate nafasi za Jeshi ila mpaka sasa kimya

    🤣🤣ndugu yang SI kama nakuchek hapana ila umenishangaza Sana"ulimeki pesa juu ya hilo😳🙄...yan wewe na mtu anaefanya michezo yakubeti hamna tofaut kabisa.anyway pole bn
  8. MbwamboE

    JamiiForums Tanzania Nataka nibadili jina langu JF baada ya watu kulisema sana

    Dah
  9. MbwamboE

    JamiiForums Tanzania KERO Hii shule ya Bright Future Secondary iliyopo Msongola Walimu wake wanachapa sana Watoto, imekuwa kero, nawaza kumuhamisha mwanangu

    Samahan labda sijakuelewa,uko kutaka ushauri juu ya hilo au unatupa taarifa juu ya kuchapwa kwa mwanao!?
  10. MbwamboE

    JamiiForums Tanzania 75% ya reels za kibongo zimejaa taswira ya makalio makubwa na uhimizaji wa ngono

    Mkuu unaelew maan ya intertainment ama social media.hii hukupa kile unachokitak so huend ni chaguo lako hilo umefany bila kujua
  11. MbwamboE

    JamiiForums Tanzania Waziri: Wanaojiuza Zanzibar wanatoka Tanzania bara na Kenya

    Anyway tuwekeni wazi sas juu ya huu muunganiko jamani.maisha Magum watu wanatafuta ugali lakin Bado inakuw shida!?haya kwamfano hilo kundi la hao msemao wanajiuz waache hiyo Kazi wawe wezi,kipi ni Bora zaid?
  12. MbwamboE

    JamiiForums Tanzania Kwanini watanzania wengi wanafurahia kwa kupigwa Hassan Mwakinyo

    Mimi sina baya na bondia wetu kabisa,Kwan kupigw ama ushindi yote ni matokeo pia hakuna asiye anguka katik Dunia hii katik swala la utafutaji.nakutakia kher t mwakinyo
Back
Top Bottom