MWANAHARAMU
JF-Expert Member
- Dec 12, 2021
- 5,349
- 13,613
Hapo mwamba ndio kafanikiwa kununua shamba lenye mgogoro, asubirie wakati anaanza ujenzi ndio ataelewa kwa nini, ni mbwa na sio mbwaaaa
📌📌Kila mwanamke ana mtu wake, ukiona mwanamke ameshindana na mtu, ujue huyo sio mtu wake kuna namna walijaribu ku force mambo. Hakuna mambo ya tamaa sijui umalaya, issue ni kwamba anakutana na mtu wrong siku akija kutana na mtu wake ( type yake ) anatulia fresh huwezi ona heka heka zozote ingawa haina accuracy ya 100% ila kwa sehemu kubwa watu hawana compactbility kwenye mahusiano yao
Guys, yaan hapa nimeshiba kitumbo kipo ndi ndi ndi, pilau la harusi ya single maza lilikua tamu hatariii, pilau la mbuzi likatiwa zabibu kavu na tui la nazi kwa mbali oyaaaaaaaa🙌🏻 rosti la mbuzi na nyama za kuku za kuokwa nyie watu wanajua kupika, 😋😋
Sasa nawapa ubuyu kidogo wa huyu single maza aloolewa leo, huyu alizalia nyumbani mwanaume akaingia mitini, hakukata tamaa akaingia mtaani kupambania ugali wa mwanae, kuna mpemba mmoja yupo Germany akaleta salamu kwa wazazi wake anataka mke, wazazi wakamchagua mdogo wake na huyu dada, sijui ilikuaje kuna mtu akamtonya bwana wa Germany kua dada mtu ni kisu zaidi ila ana mtoto, jamaa kaomba picha akadata, akawastopisha wazazi wake akasema anakuja mwenyewe, na kweli akaja akakutana na huyu single mother hajachelewesha ndoa ikapita chaaaaap, hapa single mother na mwanae safari hiyoooooo ya Germany, 🥳🥳🥳🥳
Basi bwana, baada ya kushiba zangu pilau nikajilaza kwenye zulia huku nachokonoa chokonoa meno si ndio napokea meseji eti mualiko wa kitchen party ya single maza mwengine, nikajisemea "aah jamani kwani kuna mashindanoooo," ila huyu bwana wa huyu single maza wa pili kibokoo alivyomvesha pete ya uchumba akamnunulia gari atembee amekaa na sasa ameamua kumuweka ndani jumla, single maza oyeeeeeeeeeeeeeee!
Sasa kuna matahira kila kukicha single maza this, single maza that, wajanja wanaoa,
FAIDA ZA KUOA SINGLE MAZA:
1. Unaoa mwanamke aliyepevuka kimwili na kiakili
2. unaoa mwanamke ambaye una uhakika hana changamoto ya uzazi yaani wewe ukiweka tu imooooo
3. Unaoa mwanamke aliyeamua kwa dhati kusettle down
4. Unapata uzoefu mapema wa kuishi kifamilia, yaani baba, mama na mtoto kabla hamjaanza kuongeza wengine
5. Wanajua mapenzi na mahaba, wasafi sana
6. Ongezeeni zingine nimechoka kuandika
Ngoja niende kwa wapishi waniwekee pilau kwenye kihotpot ninywee chai kesho,
Tchaooooo
Huwa zinatajwa kila uzi, atleast leo kaweka na faida!Ungetaja na hasara za kuoa single mother ili wadau waweke mzani wa faida na hasara
Kuna wakati kuwa "mjanja" ndio huwa Ujinga wenyewe.Sasa kuna matahira kila kukicha single maza this, single maza that, wajanja wanaoa,
hahahaa nawajuaaa wanaume wa humu kwa kujikausha lakini wakiwa nje huko wanapetiwa petiwa na wake zao single mazaNaswiat ni Single maza wa watoto 5 kaolewa na kijana m'bichi kwa raha zake.
Humu jf wengi wameoa Single mama ila wakilog in humu wakavuuu..!
Kwani mkitoaga kasoro za single maza wasiokua na watoto hua hawana hizo kasoro?Single mothers kwa kujifariji 🙌
Anyway, kwamba hizi faida hazipo kwa mwanamke ambaye hajazaa.?
Astaghafirullah!Na hapo ukute ushawakoboa hao single mamaz, wakifika huko utamu wa pipe wasiuone.
Unaujua utamu wa pilau la mbuzi lakiniPunguza njaa
Woyooooooooooooo🥳🥳Wanajua kudekeza pia.
🤭Naswiat ni Single maza wa watoto 5 kaolewa na kijana m'bichi kwa raha zake.
Humu jf wengi wameoa Single mama ila wakilog in humu wakavuuu..!
Pilau tamu nyieeee yaani natamani ningewagaiya muonje😄Ushavimbiwa pilau unataka waponza gen z. Sipingi kuoa single maza ila nakushauri kama haupo stable mentally usioe mwanamke aliyekuzidi chochote. Hapo kakuzidi uzazi.
Aweeeeee!!!Kuna singo maza's species nyingi...
Kweli tenaaaaa😄🤣🤣wew acha soga
Watu wanashindwa kuelewa kwenye ishu ya tabia haitegemei ni S.Maza au sio.hahahaa nawajuaaa wanaume wa humu kwa kujikausha lakini wakiwa nje huko wanapetiwa petiwa na wake zao single maza