Harmful
JF-Expert Member
- Feb 23, 2025
- 5,250
- 17,963
Hata mwenyewe namkubali sana kibongo bongo hakuna kama yeye kwa sasaMwakinyo ni bondia wangu bora
Ila inabidi afanye mazoezi kweli aache mdomo mwingi
Hata mwenyewe namkubali sana kibongo bongo hakuna kama yeye kwa sasaMwakinyo ni bondia wangu bora
Nimeangalia mwanzo mwisho , alizidiwa ule ni ufundi mzee ...So ajipange na nilijua round ya Tano afiki.Bondia mzuri sana ila kila siku zinaposonga mbele anazidi kukosa jicho la kumtazama
Huyu jamaa ni level nyingine , so alizidiwa mwanzo mwisho hata kwa points alikuwa kashapoteza round ya kwanzaHata mwenyewe namkubali sana kibongo bongo hakuna kama yeye kwa sasa
Ila inabidi afanye mazoezi kweli aache mdomo mwingi
Tanga finest 🔥Huyu jamaa ni level nyingine , so alizidiwa mwanzo mwisho hata kwa points alikuwa kashapoteza round ya kwanza
Wamatumbi tunapenda umaskini na kuukumbatia kwa nzia kifikraHata JF ukileta uzi wa mafanikio yako utaambiwa,
''Toka sebuleni kwa shemeji yako''
''Tafuta hela''
''Amka utajikojolea''
Ila ukileta uzi kua umepigika na maisha,kila mtu atakufariji na kukuombea.
Uchawa, rudia maneno ya mwakinyo!Kheri zitawale
Zilianza taarifa kuwa hakuwa akipewa sapoti za kutosha na baadhi ya watu na media, kama mtanzania wanadai alitakiwa apewe sapoti na media zote nchini binafsi najua hizi media ni zinafanya biashara na zikiona hazipati chochote haziingii kwenye biashara ya mtu mwingine
Nasikitika tu kwa watu/raia wa tanzania na watu maarufu kumsusia jamaa kwa kutompa sapoti
Labda anaponzwa na bwebwe zake za kujiamini kupita kiasi na maneno yanayomchacharika mdomoni ya shombo la samaki… natania
Mabondia wenzake wengi huyu jamaa hawamtaki na sio kwa sababu ya ubora wake ni mambo yao wenyewe binafs
Ikiwalinganisha na mabondia wa tanzania wengi viwango vyao havipishani sana ila ni ana uongozi mzuri jamaa hicho anabidi ajivunie sana wanaomuongoza wanajielewa sana na wanachangia kipaji chake kuwa cha kipekee
Labda mafanikio yake au maneno yake ya kuringa na kujihisi ni wa kipekee, ndicho kinachomfanya wengi wa mabondia wenzake wamchukie
Taifa tusimameni na wanamichezo wetu
Soma Pia BOXING: Michael Soro amchapa kwa TKO Hassan Mwakinyo. Pambano limechezwa Parc Des Expositions, Abidjan, Ivory Coast. Juni 11, 2026
Wabongo wengi ni shtholMwakinyo ni Bondia bora sana, Wabongo wakiona umefanikiwa sana wanaanza roho mbaya.. Wanamchukia Mwakinyo kwa sababu yuko independent na hajipendekezi kwa yoyote..