Recent content by Mbwambo

  1. M

    JamiiForums Tanzania Spanish tiles Bei nafuu

    Ninaomba nipe no.yako ya simu nikiwa tayari nitakutafuta maana karibu nitapata hela. Nijibu unipe no. yako ya simu
  2. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta Mtaalam wa Kufuga kuku wa mayai

    Ninataka kuanza mradi wa kufuga kuku wa mayai ninatafuta mtaalamu anayejua naman ya kulisha na kujenga mabanda yao. Naomba awasiliane nami kwa no.0713 68 96 65
  3. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta mtaalam wa kufuga kuku wa mayai

    Natafuta mtaalamu wa kufuga kuku wa mayai na jinsi ya kujenga mabanda yao Naomba anionyeshe Cheti cha utaalamu huo. Mawasiliano 0713 689665
  4. M

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kupika pilau kwa kutumia RiceCooker

    ninaomba mapishi ya kupika pilau samahani ndio naona mjadala hapa nipe recipe asante
  5. M

    JamiiForums Tanzania Startimes king'amuzi kinahitajika

    duu uko mbali sana mimi ninacho niko dar kimekaa tu baada ya kununua cha azam ila kama utapata mtu wa kumtuma aliyepo dar wasiliana nami no. 0713 689665
  6. M

    JamiiForums Tanzania Naomba mtaalamu mtu kutumia washing machine yangu

    Nilituma mtu kuninunula washing machine, lakini kwavile ni binti hakuelewa namna ya kutumia. Ipo user manual ila nina shida ya kuona maandishi madogo. Naomba mtu tupatane nae nitampa nauli na kuja kwangu na kurudi na ka asante ili aje anielekeze namna ya kutumia. Hakununulia duka la mjini ni...
  7. M

    JamiiForums Tanzania English learning thread

    Jamani nami ningependa kujifunza kifupi nime ply hiyo video ya training lakini ninataka niiweke kwenye computer yangu nitafanyaje naman ya kuiweka? Nisaidieni jamani asante
  8. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta fundi wa kuzibua-fimbo

    Naomba awasiliane nami hapa hapa anijibu na atoe no.yake
  9. M

    JamiiForums Tanzania Rais John Magufuli afanya Ziara ya ghafla kwenye Taasisi ya Mifupa Muhimbili (MOI)

    duu pole sana ulimnyima kura yako lakini umegundua ni jembe wewe songa mbele achana na ukawa muombee magufuli ni jembe
  10. M

    JamiiForums Tanzania Nauza simu iko katika hali nzuri tuu

    Ninauza HUAWEI Y530,BEI 150,000/= . Picha nitaileta baadae. Wasiliana na 0713 689665.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Wauza smartphone tukutane hapa

    Ninauza HUAWEI Y530,BEI 150,000/= . Picha nitaileta baadae wasiliana na 0713 689665
  12. M

    JamiiForums Tanzania TAMKO: Rais JPM Kasema

    Ana IMANI ndio maana ameanza kushukuru kwanza kabla hajapata mkopo
  13. M

    JamiiForums Tanzania Fremu inapangishwa

    Ipo jirani na njia panda ya kwenda tcc club, inatazama bara bara kuuu ya changombe ina floor tiles na mlango wa aluminium ina ukubwa wa kutosha duka la chakula, dawa na duka la nguo. Kodi ni nafuu na nzuri sana na mkataba unaweza kulipa wa miezi sita. Wasiliana na 0713 68 96 65
  14. M

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kuwazuia paka kuingia kwangu?

    Jamani ninaomba msaada wa mtaalamu wa wanyama ili anisaidie kitu gani kitawazuia paka wa jirani kuingia kwangu. Paka hawa huingia kwenye fence yangu na kukesha wakilia nyuma ya nyumba yangu, imekuwa ni kero kiukweli. Naomba msaada nitamlipa akinifanikisha. Asanteni kwa ushauri
  15. M

    JamiiForums Tanzania Fremu ya biashara inapangishwa maeneo ya Chang'ombe, jirani na Bora

    Kaka samahani vipimo sina na picha ukipiga sidhani unaweza kuelewa labda nipe muda nikaulize mtu anipe vipimo. Ila naona vyema ukaja ukaona kwa macho ASANTE NA KARIBU
Back
Top Bottom