Naomba mtaalamu mtu kutumia washing machine yangu

Mbwambo

JF-Expert Member
Nov 25, 2008
625
93
Nilituma mtu kuninunula washing machine, lakini kwavile ni binti hakuelewa namna ya kutumia. Ipo user manual ila nina shida ya kuona maandishi madogo. Naomba mtu tupatane nae nitampa nauli na kuja kwangu na kurudi na ka asante ili aje anielekeze namna ya kutumia. Hakununulia duka la mjini ni private maduka ambapo hawezi kurudi mpaka awe na mtu aliyempeleka mwenye kibali kuingia hiyo sehemu.

Naomba atakaye jitokeza awe mtaalamu wa kuuza duka la mfano hizo washing machine............
Wasiliana na 0713-689665

asante
 
Kwa age naweka heshima kwako.
Ila sema tu ni kwamba mlinunua na kuitumie nyote hamjui.

zote maandishi yake ni madgo.
Watakuja wadau kukusaidi namna ya kutimuia.
Ila weka picha hapa,dunia ni kijiji unaweza kupewa maelezo bila kuingia gharama yoyote.

Tatizo la first users wa machine za kufulia ni uoga,maana baadhi zinatisha mwanzo kwenye kuanza kazi,unaona kama nawewe unazunguushwa ndani.Toa hofu,google design ya machine husika kisha maelezo yote yapo humo.
Unless iwe imeharibika ndio aje fundi
 
Nilituma mtu kuninunula washing machine, lakini kwavile ni binti hakuelewa namna ya kutumia. Ipo user manual ila nina shida ya kuona maandishi madogo. Naomba mtu tupatane nae nitampa nauli na kuja kwangu na kurudi na ka asante ili aje anielekeze namna ya kutumia. Hakununulia duka la mjini ni private maduka ambapo hawezi kurudi mpaka awe na mtu aliyempeleka mwenye kibali kuingia hiyo sehemu.

Naomba atakaye jitokeza awe mtaalamu wa kuuza duka la mfano hizo washing machine............
Wasiliana na 0713-689665

asante

WTF! Does anybody ever get laid thru badoo.com?
 
6nilichogundua now days unaweza ukajoin leo JF halafu join date ukawekewa 2009. Interesting.......
 
Google kulingana na aina/jina/model ya hiyo washing machine na utapata user manual mtandaoni.
 
Nilituma mtu kuninunula washing machine, lakini kwavile ni binti hakuelewa namna ya kutumia. Ipo user manual ila nina shida ya kuona maandishi madogo. Naomba mtu tupatane nae nitampa nauli na kuja kwangu na kurudi na ka asante ili aje anielekeze namna ya kutumia. Hakununulia duka la mjini ni private maduka ambapo hawezi kurudi mpaka awe na mtu aliyempeleka mwenye kibali kuingia hiyo sehemu.

Naomba atakaye jitokeza awe mtaalamu wa kuuza duka la mfano hizo washing machine............
Wasiliana na 0713-689665

asante

mkuu washing machine yako ni manual au automatic?
 
Back
Top Bottom