Katika ulimwengu huu ni jambo la lazima kuwa na laptop, kozi yoyote ile utakayosoma ni lazima kuwa na komputer, materialS na tutorialS nyingi zipo kwenye net, ni matumaini yangu kuwa huitaji kuuliza mtu, afadhali usiwe na nguo nzuri, lakini vifaa vyako kwa ajili shule viwe vimetimia. NUNUA...
Kundi gani linalotaka nchi isitawalike? si kila kitu kinaweza kutetewa na mtu mmoja hayo mengine wewe unaweza kutetea.
Lini amesema kuwa anataka Tanzania iwe jamhuri ya kiislamu?
Ni aibu kuita binadamu mwenzako ni nyoka na kulazimisha kuwa ni lazima apondwe / afe, unatoa hukumu ya kifo kwa...
Salaam,
Ni matumaini yangu kuwa akili yako si tukutuku,
Sina imani kuwa umetumwa kutoa uharo kwenye jukwaa hili la wastaarabu.
Naona unahoji kisheria kuwa je huyu kiongozi wa dini amepigwa risasi au la, wakati ulimwengu wote unafahamu hilo. kama wewe ni polisi waambie wenzako kuwa dunia...
Kweli jamani, shule za kata hazifai, hivi huyu ni mtu anaishi dunia gani, mbona unaharisha hadharani, huyo unayemuita baba wa taifa aliacha hadi kazi kule pugu. Unashangaa nini wewe, nitakutusi!!!
sheshi la wananchi mko wapi, chukueni hii nchi angalao kwa miaka miwili, mtunyooshe kisha mturudishie utawala wetu, nchii inaangamia hii kwenye matumbo ya weviiii!!!!!!, jamani tafadhali nchi inakwisha hiii!! hawa jamaa hawana huruma, tafadhali mkuu wa majeshi fanya maamuzi magumu, chukueni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.