Recent content by mbwa kichaa

  1. mbwa kichaa

    Barua ya Wazi kwa Rais Magufuli, kutoka kwa wafanyakazi wa NIDA

    Pole sana ila nyie wafanyakazi wa NIDA mlikuwa mnalinga sana. Na majibu ya keeling. Kupata kitambulisho ni kazi kuliko Kupata viza ya ulaya
  2. mbwa kichaa

    Nimeachwa tena, sijui tatizo langu ni nini?

    Maisha yanabadilika we umeachwa mi nipeta mtoto mkare ila pole sana funga na maombi then toka nje mungu atakuonesha mtu mpya..
  3. mbwa kichaa

    Hivi ndio vigezo vya mke ninayemtaka

    Nenda mbinguni kapoint malaika mmoja ndio wana sifa izo hapa mjini hata mama yako hakuwa nazo?
  4. mbwa kichaa

    Kikwete atimiza asilimia 80 ya ahadi zake ndani ya miaka saba ya utawala wake

    Nachukia data za kukusanywa chooni na kuandaliwa bafuni. Nani amekuambia kikwete kafanya ayo mambo amna kitu kibaya kama kumsifia mpumbavu na lofa.
  5. mbwa kichaa

    UKAWA vs CCM katika urais, piga Kura hapa

    Lowasa na ukawa
  6. mbwa kichaa

    "Kama ingekuwa ni chaguo langu, basi ungekuwa ni wewe"

    Ukiona kadi ya njano basi ujue nyekundu aipo mbali... Ameshapata mwingine anampenda bora uanze moja saka binti mwingine.
  7. mbwa kichaa

    Men only (inahusu wanaume)

    Umeeandika point zenye GB 500 big up bro wambie watoto wazembe wafanye kazi. Sio kudownlord movie mpya na kucheza play station..
  8. mbwa kichaa

    Nashindwa kuwaamini wanaume

    Nahisi we ndio chanzo cha kuacha kama unakiwa mchoyo kwe ngozi yako unategemea nn
  9. mbwa kichaa

    We Dada jirani yangu umenikera sana

    Face to face naweza kumwambia ila nikikuona hatazidi kuniaribia siku yangu... Maana nikiokosa kwa makofi basi risasi nitampiga nayo... Naogopa jera
  10. mbwa kichaa

    We Dada jirani yangu umenikera sana

    Salaam kwa wana JF Kichwa cha habari kimeelewaka. Kuna mdada jirani yangu mimi na yeye tunaheshimiana sana jana kanikuta girrafe hotel na mdogo wangu wa kike nilimtoa out. Akaanza kunitambulisha kwa ndugu za pamoja na wazazi wako kuwa mimi ni mchumba wako na tuna mipango ya harusi. Kwani...
  11. mbwa kichaa

    Natafuta Mume mwema

    We ni mmama sio binti...
  12. mbwa kichaa

    Mwanamke/mwanaume gani hautamsahau katika maisha yako?

    Kung ka nee alinifanya kidogo niache chuo kipindi nasoma korea kusini....
Back
Top Bottom