Hivi ndio vigezo vya mke ninayemtaka

Hivi ndio vigezo vya mke ninayemtaka

muudy

Aisee iyo ata mchina ataishidwa maana ni qwikwii
Huyo mtu cjui maana ata vijijini hawapo.labda ukatafute mtt vidudu umkuze.
Labda atakuwa na vigezo ivo
Qwimwiii
 
Last edited by a moderator:
Nenda mbinguni kapoint malaika mmoja ndio wana sifa izo hapa mjini hata mama yako hakuwa nazo?
 
Mwanaume mpole anaenda na mwanamke aliechangamka.

Wote mkiwa wapole si mnatengeneza nyumba ya mazezeta?
 
Back
Top Bottom