Econometrician
JF-Expert Member
- Oct 25, 2013
- 17,519
- 32,675
Her dreams are still valid... And one man's trash is another man's treasure
one man's meat is another man's poison.
Her dreams are still valid... And one man's trash is another man's treasure
one man's meat is another man's poison.
Sikuhukumu dada yangu ila kwa muono wangu kuna kitu hakiko sawa kwa jinsi unavyotafuta mume. Kama kweli umeokoka, unampenda Yesu na unamtegemea yeye and you mean it, huwezi kuja kutafuta mchumba mtandaoni/JF. Rudi kwenye biblia angalia/soma vzr uone mume anatafutwaje kibiblia! Unless uwe umetumia wokovu kama fashen tu ndo utatumia style yako uliyotumia.
Mimi ni binti wa miaka32 Nina mtoto1 wa miaka5 nimeokoka nampenda yesu umefika wakati nahitaji mwenzi wangu wa maisha awe na umri34-42 awe mwenye mapenz ya kweli atakaenipenda km nilivyo mtafutaji wa maisha km Mimi tuwasiliane kwa email karungimiteni@yahoo.com plz naomba uwe serous na ni muhitaji kweli dada mimi hapa tafadhari nahtaj
Mwaya Mungu akutane na haja ya moyo wako. Mume utampata tu hapa jf au nje
Ila wanaume wanaooa single moms mnakua na moyo dah!
Hukupaswa kumwambia hivi
Mko wachache watu wa namna hii humu JF siku hizi.
Kila siku duniani watu wema na wa kuwatia moyo wenzao wanazidi kupungua, ndio maana kwenye misiba siku hizi tunanachangishana pesa za kuwalipa watu waje kulia.
Vv
Kuna tatizo kwani mkuu? Unajua ni mazingira gani aliyopitia hadi akawa single mom at that age?
Nimem mind sanaa jamaa alivyomjibu. Wakat mwingine tusi m judge sana mtu. Wengine wamepitia mithihani mikubwa ya maisha.
Mungu aepushe mbali.
Sikuhukumu dada yangu ila kwa muono wangu kuna kitu hakiko sawa kwa jinsi unavyotafuta mume. Kama kweli umeokoka, unampenda Yesu na unamtegemea yeye and you mean it, huwezi kuja kutafuta mchumba mtandaoni/JF. Rudi kwenye biblia angalia/soma vzr uone mume anatafutwaje kibiblia! Unless uwe umetumia wokovu kama fashen tu ndo utatumia style yako uliyotumia.
Mungu azidi kukutia nguvu, utampata mke mwema dada...