Recent content by Mbutunanga

  1. Mbutunanga

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha Mihogo (Cassava): Mbinu, Ushauri, Changamoto na Masoko yake

    NimekuPM mkuu, naweza kusupply.
  2. Mbutunanga

    JamiiForums Tanzania JF Exclusive: OC CID Kawe... (inahusiana na Dr. Ulimboka)

    Yaani nilikuwa naombea kibosile mmoja wa polisi apate ugonjwa ili akaonje joto ya jiwe ya kile wanachokilalamikia madaktari (Namshukuru Mungu kwa kusikiliza sala yangu, ingawa nampa pole mgonjwa, wanasema kama mmoja/wachache akiteseka ila kukawa na manufaa kwa wengi hiyo inakubalika...
  3. Mbutunanga

    JamiiForums Tanzania Maandamano makubwa ya Madaktari yaja (wiki ijayo)

    Sasa si hopital za Tanzania zigeuzwe shule halafu wagonjwa wote waende India?
  4. Mbutunanga

    JamiiForums Tanzania "Uchekibobu" unawaponza madaktari nchini Tanzania.

    Halafu nyie watu mnaojidai mpo kwa system mna doublestandards sana! Si nimemsikia naibu spika Ndugai akimweleza Tundu Lissu asikoti magazet (kwa madai yake ni udaku), sasa weye mbona unafanya kitu ambacho bosi wako anakataa ( au hiyo kanuni haiaaply kwenu?)
  5. Mbutunanga

    JamiiForums Tanzania Ukweli kupata wahusika wa kipigo cha daktari ulimboka.

    Hivi yule mtu aliyeenda kuonge na Ulimboka kama hakuwa muhisika ilikuwaje aone mtu anayeongea naye anakamatwa yeye akakimbia? Kwa nini hakubaki na Deo kufuatilia kulikoni?
  6. Mbutunanga

    JamiiForums Tanzania Mkutano wa madaktari- agenda za kujadili

  7. Mbutunanga

    JamiiForums Tanzania Madaktari wenzangu: Only "Mass resignation" itawaamsha watawala!

    Hebu muulize Malcopolo wakati anazuga pale Lugalo, vifo vingapi vilitokea kwa ukosefu wa vifaa? Hebu wapeni madaktari mazingira mazuri ya kufanyia kazi pasipo hata kuwaongezea mshahara muone kama hawatachapa mzigo! Madaktari ya Ureno wamegoma kisa bajeti ya afya kwa kuwa imepunjwa...
  8. Mbutunanga

    JamiiForums Tanzania "Uchekibobu" unawaponza madaktari nchini Tanzania.

    Hivi weweeee tangia lini unajali mambo ya madaktari au vifo vya wagonjwa na hasa watoto? Wakati unafanya internship pale Lugalo si ulikuwa unadoji ukiwa zamu na hasa pale paediatric ward ukiacha vitoto vikifa na weye kwenda kufanya mambo yako ( au ndio guilt concious?) Ukaflukufluku...
  9. Mbutunanga

    JamiiForums Tanzania Maandamano makubwa ya Madaktari yaja (wiki ijayo)

    ZeMalcopolo utashiriki au utaleta uchekibobu?
  10. Mbutunanga

    JamiiForums Tanzania "Uchekibobu" unawaponza madaktari nchini Tanzania.

    Sijawahi kuona mchemfu kama weye, KTY huyo daktari wa watoto unayetamani awe ameshiriki mgomo hakuahiriki, mnataka kumbambikizia kesi , au umepewa info nusu nusu, kabla hujakurupuka fanya utafiti. Am so ashamed of you!
  11. Mbutunanga

    JamiiForums Tanzania MGOMO: Madaktari 319 wafutiwa leseni

    They have just made 319 Ulimbokaz, sijui wanakumbuka!!
  12. Mbutunanga

    JamiiForums Tanzania Dr. Namala Mkopi (kiongozi wa MAT) afikishwa mahakama ya Kisutu

    Majibu ya maswali unayouliza serikali inayo na uzuri Namala is verysmart guy so he will beat them up. Yaani hata sheria hawazijui au? Hivi hajaitisha mgomo na hana taarifa yeyote inayomweleza kuwa kuna wanachama wake walioko kwenye mgomo, atakurupukaje kuanza kusema mgomo batili, je akitoa...
  13. Mbutunanga

    JamiiForums Tanzania Chama cha Madaktari Tz chawasilisha maombi UN ya ulinzi kwa viongozi wake

    Hivi si kuna taarifa kutoka MOI, MNH kuwa hakuna mgomo na madaktari wote wamesharudi kazini? sasa hii ya kwenda mahakamani kuwa wamekaidi amri imetoka wapi tena. Unajua umbumbumbu ni shida sana.
  14. Mbutunanga

    JamiiForums Tanzania CCM yazidi kuumbuka

    Umetaja Gongo la Mboto nikakumbuka ndio makao makuu ya kikosi maalum, sikujua kama ndio mission yenu , nilifikiri ni maalum kupambana na majambazi (msangi type, inawa najua na yeye ni mmoja wa wana kikosi), kumbe ni kuua watu,seeee!
  15. Mbutunanga

    JamiiForums Tanzania TUHUMA nzito kwa UWT/TISS; CHADEMA yabaini njama nzito kumaliza viongozi wake

    Ukiona serikali inataka kuwaaminisha wananchi wake kuwa "doctor's are the killers while they believe the opposite and the so called TISS are not the killers while they also believe the opposite" ujue kuna tatizo mahali, TAFAKARI!
Back
Top Bottom