Mkutano wa madaktari- agenda za kujadili

You Can Contribute through these ways

1. M-Pesa agent number 31915 belonging to Christine Hobokela

2. Tigo Pesa agent number 05416 belonging to Hedaya Stephen Mwaitenda.

3. And for those who want to send foreign currency (USD) please send to Dr. Hobokela Stephen, Stanbic
Bank Tanzania Limited Account number: 024003849360, SWIFT CODE: SBICTZTX
 
Ajenda zote ziko centred kwenye self interest nilitarajia nione ajenda ya mustakabali wa huduma za afya baada ya serikaili kukataa matakwa ya kuboresha mazingira ya kazi. Si ndio hoja mliyoishikia bango?

Inaonekana mnajadili yenu tu.Kumbukeni pia roho za watu zilizopotea kwa ajili ya kugoma kweni,msimamo wenyewe hamna mnapigwa mkwara kidogo mmnywea,sitegemei jipya hapo.

Ulimboka mwenyewe akirudi solidarity aliyoiacha ishakufa.

watu tuna hasira nao waandamane tuwachape viboko
 
Kutakuwawapo na mkutano wa madatari wote jijini Dar es salaam
Agenda

1. Hatma ya madaktari 319 waliosimamishiwa leseni

2. kuandaa maandamano makubwa

3. Afya ya Dk- ulimboka ; tumeshatumia $ 85,000 sawa na (136,000,000 MILLIONI) zinahitajika $ 15,000

n.k ONGEZA
jamani jamani! kweli kuna waongo! niko hapa na rafiki yangu ni daktari na anajua kuhusu mkutano huo ambao ni kweli utakuwepo, ila hizo agenda naona kama zimetwistiwa sana mkuu! hako kafigure ka hela sio ka kweli, na maandamano tayari yameishatangazwa kwa ajili ya wiki ijayo, kwa hiyo hio pia sio agenda ya mkutano! Jaribu kufanya homework zako mkuu kabla ya kupost humu, unless labda mwenzetu unajua kwa nini uliandika uongo wa kutunga mpaka manamba makubwa.....
 
watu tuna hasira nao waandamane tuwachape viboko
hahaha! kweli hii nchi sijui tutafika lini huko tunapoelekea! manake naona mkuu wewe ni kichwa nazi kabisaaaaaaaaa!!!!! lakini kukuambia pia haisaidii, sidhani kama utaelewa ninachojaribu kukueleza!!!
 
watu tuna hasira nao waandamane tuwachape viboko

and that is all you will ever have-viboko!!kama mang'ombe vile mlivo..prisoners in mentality.some one else thinks for you-its like your heads are up in your bottoms i swear!!badala ya kujikomboa na ku-freshen uwezo wako wa kufikiri unakazania mbinu za zilizopitwa na muda!!

wachapeni tu hivo viboko..watumikieni wanao watuma kwa vijisenti!ebu open your eyes and see the bigger picture..use your brain for once!!
 
Kutakuwawapo na mkutano wa madatari wote jijini Dar es salaam
Agenda

1. Hatma ya madaktari 319 waliosimamishiwa leseni

2. kuandaa maandamano makubwa

3. Afya ya Dk- ulimboka ; tumeshatumia $ 85,000 sawa na (136,000,000 MILLIONI) zinahitajika $ 15,000

n.k ONGEZA

we utakuwa siyo daktari..wao ajenda zao za kwanza siyo.hizo, usipotoshe..waache wasmame kwenye.mstari.uliinyooka
 
Ajenda zote ziko centred kwenye self interest nilitarajia nione ajenda ya mustakabali wa huduma za afya baada ya serikaili kukataa matakwa ya kuboresha mazingira ya kazi. Si ndio hoja mliyoishikia bango?

Inaonekana mnajadili yenu tu.Kumbukeni pia roho za watu zilizopotea kwa ajili ya kugoma kweni,msimamo wenyewe hamna mnapigwa mkwara kidogo mmnywea,sitegemei jipya hapo.

Kwani dhaifu alisemaje? " kama kuna mwananchi ambaye hataki kuhudumiwa hospital ambazo hamna vifaaa, hawezi kushare kitanda na mgonjwa mwenzake, na kutibiwa na daktari ambaye hamjali, basi aende hospital binafsi zinazoweza mpatia yote hayo, na kama uwezo hana, malizia mwenye... Ila usiweke kikombe cha babu.

Halafu kina prof. Maji marefu si wapo?]
 
jamani jamani! kweli kuna waongo! niko hapa na rafiki yangu ni daktari na anajua kuhusu mkutano huo ambao ni kweli utakuwepo, ila hizo agenda naona kama zimetwistiwa sana mkuu! hako kafigure ka hela sio ka kweli, na maandamano tayari yameishatangazwa kwa ajili ya wiki ijayo, kwa hiyo hio pia sio agenda ya mkutano! Jaribu kufanya homework zako mkuu kabla ya kupost humu, unless labda mwenzetu unajua kwa nini uliandika uongo wa kutunga mpaka manamba makubwa.....

Wewe Rafiki yako . kwa kwambia nn?
 
Mna haki ya kuandamana ila mfahamu fika kwamba wananchi wa kawaida tutawachapa bakora mkipita huku uswahilini kwetu.
 
USD 85,000 mmezipata wapi kama mishahara yenu ni midogo? Kumbe pesa mnazo eee?

Ujajufunza saving nini? umeona nyingi . tupo mpk Botswana mshahara 7 million ; malawi 5.7 mill ; dola 85.000- kitum gani; :israel:
 
Madaktari na ili la mkenya tuliongeze km agenda?
 
Pia maandamano Yabebe Picha za akina mama wanaojifungulia Chini Temeke Hospital!! Je ndio Huduma bara za Afya!!
 
hahaha! kweli hii nchi sijui tutafika lini huko tunapoelekea! manake naona mkuu wewe ni kichwa nazi kabisaaaaaaaaa!!!!! lakini kukuambia pia haisaidii, sidhani kama utaelewa ninachojaribu kukueleza!!!

Ha ha haa, mimi naona wewe ndo kichwa nazi! Unaleta mitusi tu. Kumbuka, kila mtu ana uhuru wa kutoa mawzo. Siyo kila mtu ataunga mkono maandamano ya madaktari, tena jumatatu. Wewe kwako ni sawa, kwa mwingine si sawa. Changia kwa uwezo na upeo wako si matusi, na hasira, hizo hazijengi!
 
Ujajufunza saving nini? umeona nyingi . tupo mpk Botswana mshahara 7 million ; malawi 5.7 mill ; dola 85.000- kitum gani; :israel:

Wewe R.B, unaongea nini na unatenda nini? Kama mpo mpaka Botswana, mnang'ang'ania nini hata TZ? Si mwende huko mkalipwe zaidi?
 
Back
Top Bottom