Recent content by Mbushuu

  1. Mbushuu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Watu waliotajwa zaidi kwenye nyimbo za kikongo

    King Express ( Koffi huwa anataja sana kwenye ngoma zake)
  2. Mbushuu

    JamiiForums Tanzania Niliwahi kumjua mtu poa sana ila nilipogundua ni jambazi hadi kupigwa kwake risasi, tangu siku hiyo naishi na watu kwa umakini sana

    Kuna mwamba alikuwa fundi cherehan mtaan kwetu kipindi tupo wadogo, alikuja kuuwawa na polisi maeneo ya mbagala kwenye tukio la ujambazi, story zilvyokuja mtaan kila mtu alibaki mdomo wazi.
  3. Mbushuu

    JamiiForums Tanzania Kwenye vita ya Social medias hakuna wa kushindana na Wakenya hapa Afrika, Wanaijeria na ujanja wao huwa wanapigwa

    Wakenya wame-hack acc ya X (twitter) ya jeshi la polisi la tz.
  4. Mbushuu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Expecting a big performance from Martinelli tonight ✊️
  5. Mbushuu

    JamiiForums Tanzania SI KWELI PreGE2025 Kwenye ukurasa wa Lema wa X (Twitter) ameandika Mbowe na mwanae wasusa CHADEMA, wagoma kumpa vifaa Lissu kwaajili ya mapokezi ya singida Februari 15

    Nmepita kwenye page ya Lema twitter sijaona post kama hyo hslafu mtoto wa Mbowe mwenye kesi ya kutowalipa wafanyakazi wake anaitwa Dudley Mbowe huyo James Mbowe sidhani kama ni mtt wa damu wa Mbowe.
  6. Mbushuu

    JamiiForums Tanzania KWELI Paka huchochea Pumu

    Allergens in the fur, skin, and saliva of cats can cause an allergic reaction in some people, which can trigger symptoms of asthma such as wheezing, coughing, and shortness of breath.
  7. Mbushuu

    JamiiForums Tanzania Kuna internation school Gani nzuri Dodoma

    Wakuu mimi naulizia primary school nzuri ya kikatoriki iliyopo dodoma.
  8. Mbushuu

    JamiiForums Tanzania TANZIA Nimempoteza baba yangu mzazi

    Pole sana, Mungu akutie nguvu.
  9. Mbushuu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je! Ahmed Ally aendelee kuaminiwa pale msimbazi?

    Ila Ahmed Ally huwa namuona kama comedian flan hivi akiongea.
  10. Mbushuu

    JamiiForums Tanzania Waliowahi kupotelewa na ndugu au mtu wa karibu mje mtupe experience

    Ni huyu chalii? https://youtu.be/54wxB7_9cHQ?si=2AUdu8eVQwQhh8aP
  11. Mbushuu

    JamiiForums Tanzania Chama Cha Wafugaji Tanzania (CCWT)-Kipo?

    Mkuu unazungumzia chama cha wafuga nini? Majini, ndevu au mifugo?
  12. Mbushuu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sitosahau UKIMWI ulichofanya mtaani kwetu. Nyie watu wa mapenzi kuweni makini

    Pole sana mkuu.
  13. Mbushuu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania FT: Mamelodi Sundowns 0-0 Yanga SC | CAF CL Quarter Final | Leg 2 | Loftus Versfeld Stadium | 05/04/2024 (Penat 3-2)

    Tokea Dar Mamelodi walionyesha kutokubadirika, wanakosa spaces through the lines wanalazimishwa pembeni sehemu ambayo wanatumia zaidi FBs badala ya wingers ( wapo narrow ni faida kwa Yanga )
Back
Top Bottom