Watanzania si wapumbavu kiasi hichu, kumsikiliza mtu mmoja na kufanya maamuzi, na wala Mh. Nasari hana uwezo wowote kushindana na dora, wananchi wanasikiliza wanatafakari na mwisho wanafanya maamuzi. Serikali itambue hilo na polisi walijue hilo, hatutarajii kumsikiliza mtuu kwa jambo la kipuuuzi...