Mh. Mbassa (CHADEMA) ashinda kesi jimbo la Biharamulo Magharibi

Mh. Mbassa (CHADEMA) ashinda kesi jimbo la Biharamulo Magharibi

Mungu Mkuu dhambi ya kumpora ubunge Lema itawatafuna mpaka familia zao
 
People's Power, CDM yaibwaga CCM tena huko BIHARAMULO, baada ya madai yote nane kukosa mshiko!

ni mashiko bhana, sio mshiko, mshiko ni faranga.

nina amini tanzania itakombolewa bila kumwaga damu nyingi.

tunaendelea na Mungu.

kama kweli good news
 
hongera cdm, pipozzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzz
pawaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Viva chadema!! Wao wana pesa sisi tuna Mungu.
Kama litatenguliwa la Segerea maana ni obviously kwani Makongoro Mahanga alipora haki kinguvu basi Chedema ni hakika tunaongeza majimbo mawili chamani. La Arusha tutalirudisha, Sumbawananga na Segerea tunayakomboa.
.
 
hureee, hongera Doctor Mbasa, hongera Chadema it is confirmed. Naskia kesi ilikuwa kituko kwa magamba!! Biharamulo hooo yeee. Mungu ibariki B.mulo yetu. Piga kazi dactari wa ukweli Mbasa wana B.mulo tunakuaminia.
 
Kama habari hii ni ya kweli, basi Mungu wetu wa amani apewe sifa!!!!

Tiba

That is very true. Mh Mbassa mbunge kupitia chadema alifunguliwa kesi na mgombea wa CCM, hukumu imeanza kusomwa saa 7 mchana hadi saa mbili na nusu usiku huu.

CCM pisha njia. Lakini haya yote ni sababu ya Makamba. Mnakumbuka kauli yake kuwa kila mgombea wa CCM, afungue kesi, Chama kitalipa.

Mimi binafsi naomba waendelee kufungua hata huko ambako walisahau ili tuwaoneshe people's Power

Quality
 
Tanzania bila CCM inawezekana,Tumethubutu tumeweza na twazidi kusonga mbele! People's power........:disapointed:
 
To The Lord be the glory, wangu may his power and wisdom be with chadema till we change the country's worse situation we have right now an attain our victory against these CCM thieves! An robbery!
 
Back
Top Bottom