Kuna ambao hawawezi kukuelewa kweli, lakini haka kautamaduni kamekuwa kero kwa kweli. Ni utamaduni unaozidi kushamiri Tanzania, lakini si kwa Waafrika wote, maana najua jamii nyingi tu za kiafrika ambazo hazina utamaduni huu. Mtu anaanda bajeti ya harusi milioni 25 lakini yeye mfukoni ana mil 3...
Salaam kwa wote. Nauza kabati kubwa la vyombo (kama linayoonekana pichani). Bei ni shilingi 350,000/. Kabati limetumika lakini lipo kwenye hali nzuri sana.
Pia nauza friji ndogo (kama inavyoonekana pichani). Bei ni sh. 195,000/. Friji limetumika lakini linafanya kazi vizuri sana.
Vitu vyote...
Ni wazo zuri. Maadam umeshajua interest yako ipo wapi, ni vizuri kujikita huko kuliko kupoteza muda na pesa kwenye kitu ambacho unaona hakitakusaidia. Uzuri wa short courses una concentrate kwenye eneo moja kwa muda mfupi.
Ukiona umeimudu na una interest zaidi unaweza kuendelea kuchukua kozi...
Yapo ya aina mbili. Kuna yale ambayo ni matofali complete unajengea moja kwa moja (matofali ya kuchoma). Na kuna zile kama tiles ambazo unabandika ukutani kama finishing. Cheki na jamaa hawa instagram (Login • Instagram) wanatengeneza hizo za tiles za kubandika ukutani. Namba zao za simu ni 0622...
Wazazi wako wapo sahihi.Simamia biashara ya familia ikue zaidi na itengeneze ajira kwa wengine na hata kurithisha vizazi vyenu vitakavyokuja. Isiishie tu kwenye hizo pharmacy 2 na maduka 2. Kuna future nzuri zaidi kwenye biashara tena ambayo imeshaanzishwa na ipo "operational " kuliko kukimbilia...
Biashara ya cement hususan kama utakuwa unauza kwa bei ya rejareja inatoka zaidi ikiwa inauzwa na vifaa vingine vya ujenzi. Hii ni sababu wateja wengi wa ujenzi huka tayari una duka la hardware, hata kama halina vifaa vingi, unaweza kuanza na hata mifuko 100-200.
Ila kwa kiasi hiki kidogo cha...
Tenganisha pesa ya biashara na pesa ya matumizi yako binafsi. Faida inayopatikana kwenye biashara itumike kuongeza mtaji wa biashara na kama ukilazimika kuchukua hela ya biashara kwa matumizi nje ya biashara hakikisha unairudisha haraka iwezekanavyo. Kwa hiyo tatizo inaweza kuwa hio. Vile vile...
1999 Toyota Alteeza inauzwa. Gari linatembea na liko kwenye hali nzuri. Limetembea km 98,000. Road license imelipiwa. Gari ipo Dar es salaam. Bei ni shilingi milioni 11 .
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.