mathias juliusjoram
Member
- May 2, 2015
- 20
- 8
Naomba ushauri kama kichwa cha habari kinavyosema
Tenganisha pesa ya biashara na pesa ya matumizi yako binafsi. Faida inayopatikana kwenye biashara itumike kuongeza mtaji wa biashara na kama ukilazimika kuchukua hela ya biashara kwa matumizi nje ya biashara hakikisha unairudisha haraka iwezekanavyo. Kwa hiyo tatizo inaweza kuwa hio. Vile vile angalia eneo unalofanyia biashara au aina ya biashara, inawezekana idadi ya wateja haiongezeki kwa hiyo mzunguko kila mwezi unakuwa ni ule. Kwa hiyo fanya tathmini ya matumizi yako ya mapato ya biashara na vile vile mzunguko wa biashara yako.Naomba ushauri kama kichwa cha habari kinavyosema