Recent content by mbughaa

  1. M

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya ku-highlight sentensi au maneno kwa rangi humu JamiiForums

    [color=blue]morning
  2. M

    JamiiForums Tanzania Kwa nini plate number hazijirudii na zipo 3 tu?

    Ujue A mpaka Z hapo utahesabu herufi 26. Ili kujua magari mangapi yanaweza sajiliwa ni kama ifuatavyo.... 999-99=900 sababu 100 ni inclusive yaani inatumika.. Kwa sababu namba za usajili zina herufi 3 mfano AGB Issue za probability inafuata 26x26x26x900=15,818,400. Hiyo ndio idadi ya magari...
  3. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sikutegemea nitakuja kuwa single mother in my life

    Mnaboa eti kupenzika mpaka muoane. Mimi mwenyewe ukiwa na mikato hiyo nakupiga kitu na hatuwezi dumu!
  4. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Yeye nampenda lakini SMS wanazotumiana hapana

    Kama hupendi anachokifanya mweleze,,,,,,hapo ndipo utajua kama anakupenda au la! Kama hakupendi jua mwisho wenu utakuwa umekaribia
  5. M

    JamiiForums Tanzania Angalia ramani alikoshinda Magufuli na Lowassa

    Elimu kweli inahitajika, hata asiyekwenda shule atakwambia matokeo hayaendani na ulichowasilisha
  6. M

    JamiiForums Tanzania Nasikitika sana kupoteza jimbo la Segerea, sikufikiri kama Mtatiro atashindwa

    Ubinafsi umetunyima ushindi,,,,,boring
  7. M

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya Muammar Gaddaffi ndiyo iliyonitoa machozi

    I wish ndio angekuwa president wangu kwa hali ya maisha hayo
  8. M

    JamiiForums Tanzania Kwa mgawanyo huu wa wapiga kura, Lowassa kumshinda Magufuli ni ngumu

    Kundi la vijana ( wanaume na wanawake) linahitaji mabadiliko! So ccccccmmm itakuwa inakubalika na kundi la wanawake wasio vijana....
  9. M

    JamiiForums Tanzania Orodha ya wapiga kura mikoa , jinsia na umri

    Vijana wengi wanahitaji mabadiliko,,,,,,
  10. M

    JamiiForums Tanzania Moja ya jengo la kifahari linalosemekana kumilikiwa na aliyekuwa mgombea ubunge Ludewa

    Anastahili kuwa nayo kwa bidii yake,,,,Rest In Peace .
  11. M

    JamiiForums Tanzania GE2015 Hakuna kifungu cha sheria kinachomruhusu mpiga kura kukaa nje ya mita 200 toka kituoni akilinda kura

    Sheria ipi inamtaka mpiga kura arudi nyumbani?
  12. M

    JamiiForums Tanzania niulize kuhusu building economics, building economics, na architecture

    Architecture baba lao pale ardhi university......lakini shuruba yake si mchezo
  13. M

    JamiiForums Tanzania Kikwete: Atakayekaidi na kubaki kituoni kulinda kura "HATAVUMILIWA"

    Hivi hili suala la kurudi nyumbani baada ya kupiga kura lipo kisheria???? Kwann sheria isifuatwe??
  14. M

    JamiiForums Tanzania Ahadi ya Elimu bure kuanzia Primary hadi University, Je HESLB ifutwe?

    Mtoa maada umesoma chuo kweli? Mikopo ya wanafunzi kwa ajili ya chakula na stationery pia pesa ya kujikimu wakati wa field watapewa na nani?
Back
Top Bottom