10 odds betpawa CODE: 141285D
Inashauriwa kucheza single au combo.
Pia kuna game ya al ahly na zamalek. Itaisha na droo.
Wale wa arbitration.
correct score 0:0 odds 6...
Correct score 1:1. Odds 4...
Sikujua kama nitakutana na omba omba humu. Ukatae ukubali ww ni omba omba unayekuja kwa style yako. Na tukikuendekeza utageuza iwe haki yako[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kumekuwa na minong'ono mitaani kuwa upimaji wenu unaangalia zaidi athari kwa mtoto na sio ukweli wa mtoto.
Yaani kama baba ni mmoja basi atapatiwa huyo mtoto atake asitake majibu yatakuja upande wake. Hii imewafanya wengi wenye kauwezo kukimbizia sampo zao Kenya. Kama ni kweli mjitathimini...
Elewa kuna watu wanaijua biblia kukuzidi na wamepita hapa wakasoma na kuenda zao. Fikisha ujumbe kisha endelea na maisha yako. Habari ya kutujazia maandiko hapa sio mahala pake. Kuwa na adabu. Kama sehemu hutakiwi ondoka. Ukiendelea huu upumbavu utanikwaza zaidi ya sana. Unajaza vitu...
Aliwezesha wakala kuumbuka. Bila wife kunishirikisha nisingejua. Na yawezekana angeliwa. So ni ushirikiano wa wife uliofanya wakala asile. Uwe unauliza kwanza. Maza fanta
Baada ya kununua ka baby walker kangu nikakumbuka mbwinu za wadau wa huku uzinifuni state aka kula tunda kimasihara. Nikaona ngoja nizurure tu bila mpango wa maana nikatokea mitaa ya mtongani nikakumbuka nina namba za wadau(friends) wangu wanaishi huko. Nikaona sio kesi nikamcall mmoja akasema...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.