Recent content by Mbonge

  1. M

    Mwigamba: Sitoki wala siombi radhi. Atoa ufafanuzi kuhusu Waraka wa Mkakati wa Mabadiliko 2013

    Kiukweli naamini si mimi tu, tuliowengi japo si wote tunashindwa tusimamie wapi kulingana na hoja zinazotolewa na pande zote mbili zinazokinzana,, nadhan ule usemi wa "muwamba ngoma huvutia kwake" hapo ndo umetia mizizi, nimejaribu kusoma makala nyingi sana zinasohusu vuguvugu hili ndani ya...
  2. M

    At least 94 dead in migrant shipwreck off Italy

    Boti iliyokuwa imebeba takriban watu 500 wenye asili ya kiafrika imezama nchini Italy, na inasemekana boti hiyo imezama kilomita moja tu kabla ya kufika ktk fuo,na imeripotiwa kuwa miili 113 ndiyo iliyopatikan na watu 150 ndiwo wameokolewa ikiwa bado shughuli za uopoaji wa miili mingine...
  3. M

    Elimu: AIBU TUPU TANZANIA!!!

    Chezea Tanzania ya "kidigital" weye! Na tutazidi kuona madudu zaidi ya haya! Tujipe pole, cjui tuendako!
  4. M

    Ipo siku Afrika na Tanzania itawatambua mashoga na kuruhusu ndoa za jinsia moja kuptia misaada

    Yeah, nimekupata mwana Jf, huko ndo tunako elekea, viongozi wenyewe hawana misimamo, they are after money! Tena muda mfupi tu ujao utayasikia!
  5. M

    Wizi huu wa nmb mobile umezidi jamani...

    Tanzania ya leo kila sekta ni wizi mtupu; hizi huduma zinazoanzishwa kila kukicha kwa minajiri ya kumnufaisha mteja, hakuna ukweli wowote, na ndio maana tunasema mwenye nacho atazidi kuongezewa na mlala hoi, hii ndiyo Tanzania ya leo!
  6. M

    Kigogo Chadema kizimbani kwa tuhuma za ugoni

    Yeah, ila nimesikitika! Sana, ila c ajabu ni njama ya wanaflaniflani hivi!
  7. M

    Mshahara mpya wa walimu, serikalini:

    Ahsante mkuu! Hivi kama kweli ndo hiyo na maisha ypo juu saiv! Je mtetez(CWT) wetu anasemaje? Twafwaaaaaaaaa!
  8. M

    Kijana abaka mbuzi wa jirani

    How sure you are? Post some attachment 2 make your self clear! Right?
  9. M

    Mtwara: Gari la kubeba mabomba lashambuliwa

    Serikal na wananch wa mtwara sasa ni wakati wa kukaa kitako, na si kila mmoja kuonesha nguvu dhidi ya anachokitaka, na ikumbukwe kuwa vurugu za wanamtwara haziwaathiri wanamtwara tu, bali ni nchi nzima kwa ujumla!
  10. M

    Sijui ilikuwaje walipofika nyumbani ..... Fuatilia.....

    Nadhan ulikuwep pindi zali lilivoanza, na ulisikiliza mawazo ya pande zote mbili, na kabla hawajaondoka ulijuwa kila mtu ana swali linalimuumiza kichwani na kwa sababu una amni kabsa walivofka mzozo ukaendelea, binafsi sijui kilichoendelea, ushauri wangu kwako ni huu! Kwa sababu ulitaka kujuwa...
  11. M

    Uwanja wa ndege wa Dar wafungwa (KIA)

    KIA ni uwanja wa kimataifa, km walitoa taarifa ya kufungwa kwa JK NYERERE INT.AIRPORT, walipaswa kutoa na sabab za kufungwa, na kam walijisahau ulipaswa kuuliza! Pole kwa kucheleweshwa! Vuta subira!
  12. M

    Kwa style hii "BIG RESULT" itafanikiwa!

    Baada ya kusemekana kuwepo makubaliano ya kwa njia ya kusain mkataba baina ya waziri wa elimu na member wengine wa kada ya elimu, hali imeanza kuonesha japo dalili za mafanikio huko mashuleni, hii ni kutokana na walimu kupiga kazi kwa asilimia 100% na zaidi ya ubunifu waloelekezwa huko vyuon...
  13. M

    huu mradi wa bank ya dunia katika shule hii ni wa kihaina

    Kwa upande wa maabara na nyumba ya mwalimu tupe picha na vipimo halisi. Na si mbaya akaweka na picha!, lakn je taaluma yako we nn mjenzi?
  14. M

    Godbless Lema: Nimemaliza Arusha sasa nashuka Mtwara

    Yeah! Nimeipenda sana! Tunahitaji mabadiliko na uwajibikaji wa viongozi kupitia demokrasia ya kweli! Be blessed Lema as your name rely on! Baada ya Arusha kasema mtwara, asiishie hapo tu! Maana sehemu nyingi sana kuna uozo! Aje apige perfume!
Back
Top Bottom