Sijui ilikuwaje walipofika nyumbani ..... Fuatilia.....

Story ya kweli,
Wanandoa wawili wakiwa kwenye gari lao na mtoto wao mmoja akiwa seat ya nyuma, ni maeneo ya barabara ya uhuru karibu na kituo cha Fire - jijini Mwanza, ghafla kijana mmoja alimwida mwanadada alokuwa ndani ya gari akiwa na mumewe, akafanikiwa kumchomoa ndani ya gari na kuanza kumuhoji huyo aliye naye ndani ya gari ni nani.

Mwenye mke alitoka ndani ya gari na kumwambia kistaarabu kijana aachane na mke wake, lakini alipokea ngumi nzito ya usoni, mwenye mke alijibu mashambulizi na kumchakaza vibaya sana huyo kijana. Sisi kama raia wema tuliingilia kati na bahati nzuri askari wa zima moto wakafika eneo la tukio na kumbeba kijana aloanzisha fujo.

Wakati kijana akijieleza alidai huyo mdada ni mchumba wake na ndo anamsomesha chuo kikuu Tumaini Iringa - sasa amemshangaa kumuona akiwa na mtu mwingine wakifanya shooping.

Naye mwenye mke alitoa maelezo yake na kudai kwamba mke wake wako wote zaidi ya miaka mitano. Mke alipoulizwa akakiri kuwafahamu wote ila akasema kijana aloanzisha vurugu ni rafiki yake tu walikutana chuoni Tumaini. Hapo mwenye mke alimshika mke wake mkono wakaondoka zao na kumuacha huyo kijana akiwa mikononi mwa hao askari wa zima moto,

Swali .....
Wanandoa hao walipofika nyumbani kwao kulitokea nini? Wewe mwanaume ingekutokea wewe ungefanyaje?

Ilikuwa vigelegele na vifijo
 
wewe ni mwanamke?
id yako nyingine ni ipi?

Kila mtu huku naniulizaga kama mimi ni mwanamke. yaani am a real african woman, a wife, a sister and a mother to 3 lovely children.

Na sijawahi kuwa na id nyingine tangu nimejiunga july 2007
 
wanakuulizia wapi? pm?
toka 2007?
mnhhh sounds fishy to me
 
he he he huwajui wanawake
pengine nayo back up storu ya siku nyiingi

ataambiwa yule sio ndo Kelvin niliekusimulia
aliwahi kuugua uuchizi,na kikimshika anasema mimi mchumba wake..
women bana ,unaweza usioe lol
Yani umeniacha hoi sana The BOSS
 
wanakuulizia wapi? pm?
toka 2007?
mnhhh sounds fishy to me

angalia profile nimejoin 2007 11th July. wananiuliza kama wewe ulivyoniuliza nikiandika post ambayo inaonyesha kama wewe ni mwanamke au mwanamume.

I am just not an aggressive poster but i can assure I read posts in here everyday labda kama mtandao uko chini na nikikosa kusoma JF najiona kuna kitu kinamiss
 
hongera
how old is your first born?
 
Story ya kweli,
Wanandoa wawili wakiwa kwenye gari lao na mtoto wao mmoja akiwa seat ya nyuma, ni maeneo ya barabara ya uhuru karibu na kituo cha Fire - jijini Mwanza, ghafla kijana mmoja alimwida mwanadada alokuwa ndani ya gari akiwa na mumewe, akafanikiwa kumchomoa ndani ya gari na kuanza kumuhoji huyo aliye naye ndani ya gari ni nani.

Mwenye mke alitoka ndani ya gari na kumwambia kistaarabu kijana aachane na mke wake, lakini alipokea ngumi nzito ya usoni, mwenye mke alijibu mashambulizi na kumchakaza vibaya sana huyo kijana. Sisi kama raia wema tuliingilia kati na bahati nzuri askari wa zima moto wakafika eneo la tukio na kumbeba kijana aloanzisha fujo.

Wakati kijana akijieleza alidai huyo mdada ni mchumba wake na ndo anamsomesha chuo kikuu Tumaini Iringa - sasa amemshangaa kumuona akiwa na mtu mwingine wakifanya shooping.

Naye mwenye mke alitoa maelezo yake na kudai kwamba mke wake wako wote zaidi ya miaka mitano. Mke alipoulizwa akakiri kuwafahamu wote ila akasema kijana aloanzisha vurugu ni rafiki yake tu walikutana chuoni Tumaini. Hapo mwenye mke alimshika mke wake mkono wakaondoka zao na kumuacha huyo kijana akiwa mikononi mwa hao askari wa zima moto,

Swali .....
Wanandoa hao walipofika nyumbani kwao kulitokea nini? Wewe mwanaume ingekutokea wewe ungefanyaje?

Nadhan ulikuwep pindi zali lilivoanza, na ulisikiliza mawazo ya pande zote mbili, na kabla hawajaondoka ulijuwa kila mtu ana swali linalimuumiza kichwani na kwa sababu una amni kabsa walivofka mzozo ukaendelea, binafsi sijui kilichoendelea, ushauri wangu kwako ni huu! Kwa sababu ulitaka kujuwa nn kitatokea ungeambatana nao mpka nyumban kwao! Ili upate hatima yake! Then unakuja na phrase yenye hatma ya tukio! Wkt mwngn yawzkn ww ni mwandish wa habr wa kujitegemea! Kazi unaaaayo!
 
si kweli,
wanaume si waongo kwenye mapenzi, wanawake ni vinara tena wakubwa kwenye mambo ya malovee. mimi kama nimeoa hata siku moja siwezi-danganya binti wa watu eti sijaoa, natafuta nini? kwanza najua wazi kwamba nikimwambia kuwa nimeoa ndo ananikubali kiulaini, ya nini niongeze dhambi juu ya dhambi!

Uongo ktk mapenzi sio kusema umeoa au kuolewa wakati haiko hivyo, uongo ktk mapenzi ni pale unapokuwa na mpenzi kisha ukataka kuanzisha uhusiano mwingine kwa kumficha huyu uliyenaye wakati huo, hii haijalishi kuwa unayetaka kuanzisha naye uhusiano mpya anajua au hajui uhusiano wako na mpenzi uliyenaye.
 
hahahahahaha uwiiiiiiiiiiiiiii itakuwa kachezea kichapo huko nyumbani mweh hadi ada anapewa mara mbili kweli huyo jembe.
 
hamna mke hapo , mimi mke wangu haendi kuongeza elimu labda asome open au day kama mji tunaokaa una chuo.

wake za watu hugeuzwa shamba la bibi huko mavyuoni.
 
he he he huwajui wanawake
pengine nayo back up storu ya siku nyiingi

ataambiwa yule sio ndo Kelvin niliekusimulia
aliwahi kuugua uuchizi,na kikimshika anasema mimi mchumba wake..
women bana ,unaweza usioe lol

bado hujaoa ndugu?
 
wadada wa chuo asilimia kubwa ni hatareeee!!
kazi kwenu mnaotumbukia kichwa2!!wanapenda
mambo makubwa tofauti na uwezo wao!!mi ndukiiiiiii wasijenisuta!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom