Mshahara mpya wa walimu, serikalini:

Mshahara mpya wa walimu, serikalini:

Serikali na walimu tuachieni wenyewe huwa tunamalizana vizuri tu. GIGO if you know what I mean

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
ahahahhahhahahha yani umenifanya nisahau ugumu ya zamu ya wiki hii!WATUWACHE !biashara yetu huwa tunaimaliza wenyewe,na tunafikiana bei vizuri tu!BILA TATIZO!
ahahahahahha na HAKUNA ANAYELALAMIKA!
MNUNUZI ANARIDHIKA NA BIDHAA
MUUZAJI ANARIDHIKA NA BEI imean FAIDA!
cc Madame B, evelyne salt, gfsonwin na Baba V
 
Last edited by a moderator:
Assume,
baba mwalimu (Degree level), mama mwalimu (Diploma level) That means ni familia ya wasomi (kibongo bongo)
mama D1, baada ya kukatwa anabaki na 351,900/=
baba E1 baada ya kutatwa anabaki na 464,580/=
PATO LA MWEZI LA FAMILIA BAADA YA KODI : 816,480/=

Wamepanga,
wana watoto wawili,
wana dada wa nyumbani,
wanawasaidia wazazi,
inabidili wao na familia wale,
walipe kodi ya simu (2000 wote wawili) = 0.24% ya mapato yao,
usafiri,
umeme,
maji,
NA MENGINGE KIBAAAAAAAAAAO

NB:
Kumbuka mwalimu haruhusiwi kufundisha tuition so chanzo kingine cha mapato ni ISHU.
Hivi watoto wakifeli mtawalaumu waalimu?

MAPATO YA TOZO ZA SIMU:
kama tozo ya 1000 ya kwenye simu ingekuwa inatumika kuongeza waalimu mshahara binafsi ningeridhika
Total amount itayokusanywa kwa mwaka ni 26,000,000,000/= (26 bil) according to TRA,
kwa mwezi ni 2,166,666,666/= roughly,
kama kila mwalimu akiongezewa 200,000 kwa mwezi waalimu 10,834 watanufaika.
Sina takwimu kamili ya kujua idadi ya waalimu tuliyonayo kwa sasa.

mawazo yangu tu.

Ngazi ya mshahara wa mwalimu mwenye cheti cha Ualimu Drj IIIA unaanza na TGTS B1, B2 mpaka B10, vivo hivo kwa C, D, na -E10 ambayo E ndio Bar ya mwalimu mwenye ngazi ya cheti ambaye ana haki zote za kufundisha shule ya msingi (akifika hapa kwenye Bar hawezi kwenda F1 mpaka akachukue Diploma ya Ualimu) Kuanzia FI na kuendelea huko mbele ndio Ngazi ya Diploma (kwa Sekondari), Degree, ambapo hapa mwalimu anaweza akawa Afsa Elimu mkaguzi, msaidizi, Mkaguzi mkuu au Afsa Taaluma au cheo chochote chenye ngazi ya Degree, japo ofisi zetu hizi za akina mjomba, hata kama una cheti cha daraja la IIIA (S/Msingi) na ukitaka kuwa Afsa utakuwa Chezea utamu wa Ndugu.

Taarifa hii ni kabla ya waliofika Bar E10 kurukishwa na kupelekwa F1
 
Hao EI ndo walimu gani, wenye Masters Au PHD?

E1 ni kwamba umepanda cheo na kufikia ngazi hiyo ya mshahara, inaweza kuwa ulianzia B1, C1 au D1 kutokana na level ya elimu (cert, dipl au degree) uliyokuwa nayo wakati unaajiriwa
 
Ngazi ya mshahara wa mwalimu mwenye cheti cha Ualimu Drj IIIA unaanza na TGTS B1, B2 mpaka B10, vivo hivo kwa C, D, na -E10 ambayo E ndio Bar ya mwalimu mwenye ngazi ya cheti ambaye ana haki zote za kufundisha shule ya msingi (akifika hapa kwenye Bar hawezi kwenda F1 mpaka akachukue Diploma ya Ualimu) Kuanzia FI na kuendelea huko mbele ndio Ngazi ya Diploma (kwa Sekondari), Degree, ambapo hapa mwalimu anaweza akawa Afsa Elimu mkaguzi, msaidizi, Mkaguzi mkuu au Afsa Taaluma au cheo chochote chenye ngazi ya Degree, japo ofisi zetu hizi za akina mjomba, hata kama una cheti cha daraja la IIIA (S/Msingi) na ukitaka kuwa Afsa utakuwa Chezea utamu wa Ndugu.

Taarifa hii ni kabla ya waliofika Bar E10 kurukishwa na kupelekwa F1

mdogo wangu ndo maana nakupenda my dearest!!!
ualimu hatukukosea jamani bado ni field nzuri sana na inalipa sana
 
mdogo wangu ndo maana nakupenda my dearest!!!
ualimu hatukukosea jamani bado ni field nzuri sana na inalipa sana

Thanks a lot my beloved sister,........
Ualimu ni kazi ambayo najivunia nayo, kwani humtoa mtu from zero to hero.......
Sema hii serikali yetu ndio inayotuangusha mpenzi..
Ila kiujumla "Am Proud to be a Teacher"
 
mimi naweza kusema ni miongoni mwa watu wanaojivunia ualimu katika nchi hii.
pamoja na makwazo yote ambayo tumepitia lkn kazi hii humtoa mtu mavumbini na kumketisha mezani pa wakuu.
nakupongeza sana kwa kuupenda ualimu, Binafsi najivunia kuwa mwalimu.

hivi unamkumbuka mwl Veri?? na mwenzie ile siku ya pati ya Monica??

si uliona kisanga cha waalimu wewe?? kuanzia mc hadi wapambe wa sherehe wote waalimu halafu wa ukweli alikoseKana snowhite peke yakeeeeee.
 
Last edited by a moderator:
B1: 304,000/=
C1: 432,500/=
D1: 589,000/=
E1: 769,000/=
Walimu ni wito. Unachezea srkali!

Ahsante mkuu! Hivi kama kweli ndo hiyo na maisha ypo juu saiv! Je mtetez(CWT) wetu anasemaje? Twafwaaaaaaaaa!
 
Waongeze Mishahara Ya Walimu! Wasitutanie! bajeti ya PRIME MINISTER kwa siku ndo mshahara wa mwalimu ngazi ya degree kwa mwezi! serkal ifikirie mishahara upya ya walimu, kwani mwalimu hapendi kusafiri kwa ndege? fyuuuuuuuu
 
mimi naweza kusema ni miongoni mwa watu wanaojivunia ualimu katika nchi hii.
pamoja na makwazo yote ambayo tumepitia lkn kazi hii humtoa mtu mavumbini na kumketisha mezani pa wakuu.
nakupongeza sana kwa kuupenda ualimu, Binafsi najivunia kuwa mwalimu.

hivi unamkumbuka mwl Veri?? na mwenzie ile siku ya pati ya Monica??

si uliona kisanga cha waalimu wewe?? kuanzia mc hadi wapambe wa sherehe wote waalimu halafu wa ukweli alikoseKana snowhite peke yakeeeeee.

Mamito nilitoka kidogo.
Yap, Mwl Veri namkumbuka sana.
Mh!! ila siku ile walimu tulijimwaya mwaya..............hadi watu wakabaki midomo wazi.
Chezea mwl.
 
ingawa cjajua kama n asilimia ngap wameongezewa labda wana jf wenzangu mnsaidie kwa hili
 
halafu huyu mleta hoja mjinga hivi walimu ndiyo watu pekee ambao mishahara yao mnaifuatilia na inawahusu nini.

mbona hujaleta mishahara ya wanasiasa na makondakta wa magari umeona ya walimu tu .

kwa tarifa yako walimu ni watu wenye upeo sana jinsi unavyohangaika kutunga uongo wanakucheka tu.
 
ingawa cjajua kama n asilimia ngap wameongezewa labda wana jf wenzangu mnsaidie kwa hili

mkuu wala usihangaike kujua mshahara wako kwenye mitandao kwani kwenye mitandao kunawatu wengine kazi yao ni kupotosha tu mda umeshafika utajua vema haki yako imekaaje.
 
Waongeze Mishahara Ya Walimu! Wasitutanie! bajeti ya PRIME MINISTER kwa siku ndo mshahara wa mwalimu ngazi ya degree kwa mwezi! serkal ifikirie mishahara upya ya walimu, kwani mwalimu hapendi kusafiri kwa ndege? fyuuuuuuuu

Umejiandaa kung'olewa kucha na meno?
 
Back
Top Bottom