Juma chief imani yangu ni juu ya upendo na utu wema ,Tuna imani nyingi sana duniani tunacho paswa ni kuelimishana kwa kuheshimiana bila kudhuriana .Jukumu la maamuzi bado linabaki kwa muelimishwaji njia ipi kwake anaona itakuwa muafaka kuifuata .Tarmud ndio tulichokuwa tunakiongelea na ndio...
Pole sana muda MUDA WOTE jaribu kufuatilia kwa karibu hao wanao lala nje US kwa karibu .Tofauti kubwa kati yetu na wao ni kwenye utatuzi wa matatizo, unapokuwa kiongozi hupaswi kulalamika, unatakiwa utatue matatizo sasa kiongozi wa nchi analalamika mwananchi wa kawaida atafanyaje ?Wenzetu huwa...
Zina ubora unaohitajika ???? Kila mtu kambare mbona tutakoma, njooni na huku bonde basi mtupatie suluhu ya machungwa azam anunue bila kusahau dawa ya minazi maana inaisha tunakosa pombe ya mnazi .
There is that saying ,we haven't inherited the planet from our parent ,we borrowed it from our children.But borrow means you plan to pay back ,and we've been stealing hope for the future .Sometimes rangers aren't even paid ,and in some situations if they get killed there widow and children are...
Brute force ,no matter how strongly applied,can never subdue the basic human desire for freedom .The hundreds of thousands of people who marched on the medias proved this. They simply expressed the human need for freedom and democracy.Their demands had nothing to do with some new ideology;they...
sio kweli msiwe wepesi wa kukubali kushindwa kabla hata hamjaanza jambo ,anaweza kuanza ya mazao hata bila mtaji .Jambo la muhimu ni kuwa na njaa ya biashara pia ajue mtandao wa biashara anayotaka kuifanya .Dont let someone an opinion to be your destiny .
Kwangu kwa wao kutumia au kutotumia hiyo babilion tarmud kuwa ni sawa au si sawa siwezi kuwasemea ,Mimi ni nani niwahukumu !!!!!!! Kuhusu walio sema kwenye tarmud zote palestian na babilon nayafahamu waliokuwa wanasema dhidi yake mpaka majina walio kuwa wanamuita YESU kristo na mama yake ila...
The problem is your attitude about problem ,Don't talk act Don't say show Don't promise prove .Kaka vipi ni kiongozi wewe au unaogopa ya dr malechela .John wa serengeti anafuatiliwa kila sekunde na habari inakuwa hewani kumhusu. tu amigo silencio !
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.