Then ukumbuke huyo mzabuni alipwi cash...kuna kodi anakatwa...
pia kuna mda anasupply ila anakuja kulipwa hata baada ya miezi 6... Chunguza vizuri hapo ulipo je fedha inayokuja kila mwezi inaweza kufanya kila kitu na kikaenda sawa..
Bro hzo bei unazoziona zipo juu ni bei elekezi kutokana na mikataba mbalimbali hasa GPSA.. Huwa kuna viwango vya chini na vya juu vya bei; sasa mara zote wazabuni huwa wanaweka bei ile ya juu kabisa... Unaweza ukaona bei ya kifaa ni sh.elfu 3 ila mzabuni anauza elfu 5
Hapo hilo lishemela lako inabidi aongeze na glass 2 za maziwa mtindi..tangawizi ya kutafuna na kipande cha muhogo...hiyo siku lazima usikie kilio cha dadako akiwa anagegedwa....
Nlipata kusikia kuwa hao misukule wana uwezo wa kuzaa...Watoto wanaozaa ni deal sana; kabla hajafika siku 40 anachomwa na kukamuliwa mafuta...Mafuta hayo ni deal sana hasa kwa kazi za kishetani
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.