Tena inazidi maana watataka na police loss Report,Kadi ya Chama chako cha siasa,password yako ya Insta ,Fb na wanaweza taka mpaka uwalipie gharama ya usafiri na chakula njiani ili ukawaonyeshe mahali ulipopotezea wakajiridhishe kama kweli imepotea,hawajawahi kuwa watu wazuri wale jamaa.
Sent...
Inawahusu nini wao hata account yangu ya bank ikisoma jero au ndio kutaka wajue ili Nile nao kabla ya safari?,ni njia tu za upigaji.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani kwenye kitambulisho cha Kura unapoenda kujiandikisha unasindikizwa na Jirani pamoja na wazazi wako kwa ajili ya uthibitisho?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa wenzetu malawi wapo na serikali yao inawatambua na kuwatumia sana kwenye kesi tata za aina hiyo na ikithibitika fulani ni mchawi Mahakama umhukumu kifungo cha kuanzia miaka 3 jera na kuendelea.
Na je kwa uelewa wako huo wa K VANT kubwa huyo mtoto wa miaka 3 aliyeiba andazi MUNGU Umhesabia dhambi ya kumstahili hukumu hata akifa Leo?
Mnatupotezea muda kwa kujenga hoja mbovu zilizo nje hata ya uhalisia na ukweli wa KIMAANDIKO.
[emoji23][emoji23][emoji23] Anakupenda sana ndio maana ameamua kukusaidia kukuombea ushauri na kukuombea kazi humu,ukirudi home mtoe Out mkapate mbege Lita mbili mbili pale kilabuni kwa Mama Mary.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Daaaaah!,u-much know ukizidi nao ni shida.....si vibaya pia tukiendelea kukumbushana kwenye utofauti wa baadhi ya maneno kiuandishi na Matumizi yake kulingana na sentensi husika.
Jitahidi kutochanganya maana na matumizi ya;-
"YOUR" na "YOU ARE"
Tukisema Elimu tunaweza rudi kwenye njia ile ile ya KIMFUMO ambao uasisi wake ni kutoka kwa hao hao Wazungu, LABDA TUSEME TATIZO LIPO KWENYE UFAHAMU UNAOPELEKEA KUJUA (na hasa kuujua UKWELI WENYEWE KUTUHUSU KWA KUHADITHIWA NA MKWELI HALISI NA HATA KIMAANDIKO).
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.