Nilihama Tigo kwenda Airtel kwa unafuu wa bando kumbe huku ndiyo wezi wakubwa

Angalia settings za simu yako,huenda inadownload baadhi ya app auto,huwa inatokea sana hyo,mimi sihami airtel ng'ooooo kwani sijaona mtandao unamjali mteja kwa kumpa vifurushi nafuu kama huu
Mkuu nielekeze hyo setting mana juzi nimejiunga tgo MB 800 ASUBUHI nikaona kuna viapp vinajidenload nikajua mtandao.

Jioni sioni Mb hsta moja.

Nielekeze niende kwenye setting hspa leo nimeejiunga zimekuja app nazicancel

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu juzi baada ya Tigo kuondoa vifurushi vya wanyonge nikaona isiwe taabu nikapata ushauri Kwa watu wengi kuwa nirudi nyumbani kumenoga nikawauliza ndio wapi huko? Wakasema kunaitwa Airtel basi nikanunua laini kwa mbwembwe zooote nikajiunga jana kifurushi cha week nikapata GB 1 nikasema hapa sawa sitoki.

Basi wakuu nilijiunga usiku jana; leo nimeigia FB tu mara chache na JF, mara tatu sasahivi nacheki balance wananiambia kuwa balance ni 81.80 MB. Khaaaaa, hawa ndio wezi wakubwa kuliko hata Tigo.

Yani nimekimbia mkojo nimekuja kukanyaga mavi; walahi nimejuta hatari.

Sent using Jamii Forums mobile app
Pamoja na wizi wa mitandao nchini ila kwa kweli airtel wanajitahidi... Huwezi linganisha na hao tigo sijui voda... Natumia airtel bandles mwaka wa pili sasa...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Voda wapuuzi,niko mbioni kuwahama!Yaani wanaiba Mb kinoma,leo nimeingia kudownload series,sasa package niliyoishusha ni ya Mb 700,wameniibia Mb 324 kwa maana baada ya hapo nimecheki nimekuta Mb 2 kati ya Mb 1024 zilizokuwemo!
 
Wakuu juzi baada ya Tigo kuondoa vifurushi vya wanyonge nikaona isiwe taabu nikapata ushauri Kwa watu wengi kuwa nirudi nyumbani kumenoga nikawauliza ndio wapi huko? Wakasema kunaitwa Airtel basi nikanunua laini kwa mbwembwe zooote nikajiunga jana kifurushi cha week nikapata GB 1 nikasema hapa sawa sitoki.

Basi wakuu nilijiunga usiku jana; leo nimeigia FB tu mara chache na JF, mara tatu sasahivi nacheki balance wananiambia kuwa balance ni 81.80 MB. Khaaaaa, hawa ndio wezi wakubwa kuliko hata Tigo.

Yani nimekimbia mkojo nimekuja kukanyaga mavi; walahi nimejuta hatari.

Sent using Jamii Forums mobile app
HUKUU MWANAUKOME KAKAAA WEEE
 
Huyu jamaa katumwa na tigo kuja kuchafua mtandao wa watu

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu nitumwe na Nani? Lazima niseme wameniibia, ni wezi wakubwa wameiba nimeweka vocha Jana saa mbili usiku nikanunua kifurushi cha GB moja sijatumia hata mb 200 inakuwaje waniambie kuwa nimebaki na mb 81.89? Na cha ajabu nikawauliza Mara Tatu wanajibu hivyo hivyo ila baada ya kuleta malalamiko humu sasa hivi nikicheck wananiambia kuwa Nina MB 360

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Voda wapuuzi,niko mbioni kuwahama!Yaani wanaiba Mb kinoma,leo nimeingia kudownload series,sasa package niliyoishusha ni ya Mb 700,wameniibia Mb 324 kwa maana baada ya hapo nimecheki nimekuta Mb 2 kati ya Mb 1024 zilizokuwemo!
Hivi kumbe ile kampeni yenu ilikuwa ya bure?
Nyie chadema si mlisema mnasusia voda na kuvunja laini zao kisa Membe na Kinana wamedukuliwa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha uongo wewe huturudishi tiGo hata kwa vijizawadi. Tokea Alhamisi jioni mpaka sasa nimetumia 2.81GB wakati kwa tiGo 3GB ni elfu tano. Hata wanifate na helicopter siendi tena. Miaka sita niliyokaa nao inatosha sasa.
 
Voda wapuuzi,niko mbioni kuwahama!Yaani wanaiba Mb kinoma,leo nimeingia kudownload series,sasa package niliyoishusha ni ya Mb 700,wameniibia Mb 324 kwa maana baada ya hapo nimecheki nimekuta Mb 2 kati ya Mb 1024 zilizokuwemo!
Series ya 700MB mbona kidogo hivo. Voda wanakula MB kwa speed hilo halihitaji maelezo ya ziada.
 
Bora huku nyumbani ,

Karibu sana, maana kumenoga!

Ingawa kuna changamoto kubwa ya upatikani wa huduma za Vocha na vifurushi,

Wakala wengi wa simu hawatoi huduma ya T -pesa sijui kuna tatizo gani !

Watu wa TTCL hebu liangalieni hili

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naomba niwatetee airtel, kwenye bando wako vizuri aliishi haraka kama voda wako fair sana kwenye hilo, changamoto yao ni 4G yao tu ndo haiko strong, wajitahidi kusambaza minara ya 4G Dar yote then ndo wahamie mikoani.
Screenshot_20200210-235217_Phone.jpg
 
Back
Top Bottom