Recent content by mbogamboga

  1. M

    JamiiForums Tanzania Tujadili ujio wa Lowassa UKAWA tangu atimize mwaka

    Kifo cha mende kinaanzia na chama cha CUF. Baada ya hapo kasikazini itafuata wamewafanya maboya wenzao cuf.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Historia kujirudia: Upo uwezekano wa Lipumba kupewa ruzuku

    Lipumba ni mtaamu wa fedha nyie mnachoshangaa nn na yy mchumi.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Hashimu Rungwe: Ni kosa kununua ndege ukawakabidhi wasomi, ATCL itafilisika tena

    Kama kuna m2 kamielewa rungwe vzr leo basi yy na rungwe waangaliwe vzr kwa Taifa hili watatufikisha baya mungu kajalia sio viongozi nyie kina rungwe.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Mjadala: Kero za michango ya Sherehe katika jamii ya Watanzania

    Kiukweli kwa sasa wamezidi mtu kila ukirudi nyumbani card za michango ya harusi zamani utachangia ulichonacho cku izi na kiasi wanaandika wao kama wameweka mfukoni kwako.
  5. M

    JamiiForums Tanzania CUF sasa yakosa sura ya kimuungano

    Ukisema cuf inawenyewe Wako wapi?
  6. M

    JamiiForums Tanzania Magdalena Sakaya, Prof. Lipumba atakupoteza

    Mnakomaa na sakaya2. Mbowe kumchukua lowasa saa7 mchana saa 8 kasoro dkk 14 anamtangaza kuwa mgombea urais kupitia ukawa. Mkiwa mnasoma msifumbe macho siasa za Tz niza mchumia tumbo hamna mkweli bora ht hao tawala wanajitambua.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Nick wa pili karusha dongo kwenye chama fulani

    Ngoja c.c.m waendelee kutawala Angalau wao kuliko hao wengine Story zao nyingi feki.
  8. M

    JamiiForums Tanzania Nick wa pili karusha dongo kwenye chama fulani

    Kwani chadema katiba yenu mwenyekiti hanaga ukomo kama hawa tawala wanavyofanyaga? Msifumbe macho wakati wa kusoma.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Baraza Kuu la Uongozi la Taifa CUF, kwa kutumia uwezo wake limemfukuza uanachama Profesa Lipumba

    Cuf washachelewa kimaamuzi wasisumbue watu lipumba alijifunga kipindi cha kwanza naye maalimu seifu kaunawa mpira kwenye penati box lipumba anasawazisha.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Dar: Watu wawili kizimbani kwa meno ya tembo yenye Kg 3500 na thamani ya sh bilioni 4.2

    Washajipumnzisha jela wenyewe hao walikuwa wanakaa sana viti virefu zamu yao.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli atua Bandarini, ataka maofisa wa ngazi za juu wenye vyeti feki wajisalimishe, TICTS...

    Wakae sawa Magufuli anawabandua wote fekifeki
Back
Top Bottom