Tujadili ujio wa Lowassa UKAWA tangu atimize mwaka

Tujadili ujio wa Lowassa UKAWA tangu atimize mwaka

Kifo cha mende kinaanzia na chama cha CUF. Baada ya hapo kasikazini itafuata wamewafanya maboya wenzao cuf.
 
Msingi wa hii mada ni kumkejeli Lowassa,
Sasa we mleta mada, Lowassa anahusika vipi na mgogoro wa kisiasa kule Zanzibar?
Naona umekosa pumzi ya kusema Lowassa ndiye aliyemtuma Jecha.
 
Umesahau, 8.CHADEMA Haiongelei tena sera yake ya kupambana na UFISADI na ile LIST OF SHAME uongozi wa CHADEMA umeichoma moto.
 
Msingi wa hii mada ni kumkejeli Lowassa,
Sasa we mleta mada, Lowassa anahusika vipi na mgogoro wa kisiasa kule Zanzibar?
Naona umekosa pumzi ya kusema Lowassa ndiye aliyemtuma Jecha.
lowasa bila shaka alimshauli maalim seif asirudi katika uchaguzi matokeo yake sasa kapote wawakilishi, umakam wa rais na mawaziri huku chadema wakichekelea bungeni na ruzuku tele
 
Umesahau, 8.CHADEMA Haiongelei tena sera yake ya kupambana na UFISADI na ile LIST OF SHAME uongozi wa CHADEMA umeichoma moto.
hahahaaaaaaaaaa msaga sumu atakutafuta sana
 
lowasa bila shaka alimshauli maalim seif asirudi katika uchaguzi matokeo yake sasa kapote wawakilishi, umakam wa rais na mawaziri huku chadema wakichekelea bungeni na ruzuku tele
Una uhakika gani kwamba kuna mtu aliyemshauri Seif asirudie uchaguzi?

Una uhakika gani kuwa Lowassa ndiye aliyemshauri Seif hivyo?
 
Una uhakika gani kwamba kuna mtu aliyemshauri Seif asirudie uchaguzi?

Una uhakika gani kuwa Lowassa ndiye aliyemshauri Seif hivyo?
si walikuwa team moja ya kuhakikisha ushindi wa UKAWA au wewe sio mtanzania tukurudishe nyuma kukusimulia yaliyojili 2015
 
Sasa mkuu,hapo kwenye CUF lowasa anahusika na nini? Mbona tunamuonea sana huyu mzee bika sababu jamani? Ina maana lowasa ndie alomtuma lipumba kufanya anayoyafanya? Au lowasa ndie alimwambia seif asusie uchaguzi Zanzibar?
viti vya znz vya ukawa vilisimamiwa na cuf, kususa kwao inamaanisha ukawa imeridhia!
lowasa alikuwa kocha mchezaji wa ukawa hauwezi kumuengua kwa maamuzi hayo ya kipuuzi ya maalim.
 
si walikuwa team moja ya kuhakikisha ushindi wa UKAWA au wewe sio mtanzania tukurudishe nyuma kukusimulia yaliyojili 2015
Nikisema bila shaka Yondani ndiye aliyemshauri Tambwe kugusa mpira kwa mkono ndipo afunge goli kwa kuwa walikuwa timu moja ya kuhakikisha ushindi wa Yanga utakubali?
 
Nikisema bila shaka Yondani ndiye aliyemshauri Tambwe kugusa mpira kwa mkono ndipo afunge goli kwa kuwa walikuwa timu moja ya kuhakikisha ushindi wa Yanga utakubali?
unaona kwa hiyo kumbe seif maamuzi yale yalikuwa yake lipumba yupo sahihi anaendesha chama kiimla taratibu mnaanza kumuruka baada ya kumtumia
 
Wadau amani iwe kwenu naomba kiroho safi kabisa ujio wa gwiji la siasa Edward Ngoyai Lowassa ni faida kwa vyama vya UKAWA au hasara.

Nachokoza mada kwa kuangalia mambo yafuatayo:

1. Kaongeza viti maalum bungeni

2. Dr. Slaa kapotea kwenye siasa

3. Maalim Seif kapoteza umakamu wa rais

4. CUF imesambaratika

5. CUF imepoteaza viti vyote katika Baraza la Wawakilishi Zanzibar

6. CUF imepoteza mawaziri Zanzibar

7. CHADEMA imeongeza ruzuku mara mbili ukilinganisha na 2010/2015Umesahau,

8.CHADEMA Haiongelei tena sera yake ya kupambana na UFISADI na ile LIST OF SHAME uongozi wa CHADEMA umeichoma moto.

Sasa naomba tuambiane ukweli, huyu jamaa ni faida au hasara ndani ya Muungano wetu pendwa UKAWA.

Karibuni tujadili bila hasira tusije toboa keyboard zetu.
najaribu kupima uwezo wako wakufikiri,maana ulichoandika hakieleweki hata kidogo kaka
 
Ujio wa fisadi Lowassa umenyonga upinzani hadi kufa. Aliyefaidika na ujio wake ni aliyeuza chama, Mbowe & co.
 
unaona kwa hiyo kumbe seif maamuzi yale yalikuwa yake lipumba yupo sahihi anaendesha chama kiimla taratibu mnaanza kumuruka baada ya kumtumia
Jibu swali nililokuuliza wacha kuniletea blah blah hapa!
 
Lowasa ameurudisha upinzani miaka ishirini nyuma kwenda kushika dola
 
Lowassa ni asset kwa sababu ana pesa ila naamini angelikuwa bonge la mzogo kama angelikuwa hana pesa angeitaji effort sana lakini sasa hivi chadema wanatumia nguvu kidogo kumtangaza kwa sababu jina lake walishalitangaza kabla kuwa ni fisadi .....

Pia ujio wa Lowassa umepunguza nguvu ya upinzania kukemea ufisadi.
Mkuu umemaliza kila kitu.
 
Back
Top Bottom