Nick wa pili karusha dongo kwenye chama fulani

Nick wa pili karusha dongo kwenye chama fulani

"Kama chama flani Mwenyekiti yule yule miaka yote, sijui kwanini anachukia chama flani pia kutawala miaka yote..Demokrasia huanza na wewe". Nick wa Pili

Source east africa radio

NB: Mimi binafsi sijaelewa chama alichomaanisha
Kama uyo mwenyekiti amechaguliwa kwa kura halali za wajumbe wa mkutano mkuu apo hamna tatizo

Ila kama yupo madarakani bila kwa ubabe au wizi wa kura apo itakuwa tatizo kubwa
 
Tafsiri nyepesi:
*Chama kinachotawala miaka yote (CCM)
*Anaechukia chama minachotawala miaka yote (UPINZANI)
*Mwenyekiti yule yule miaka yote (Mh MBOWE/ Prof LIPUMBA)
 
Kwani chadema katiba yenu mwenyekiti hanaga ukomo kama hawa tawala wanavyofanyaga? Msifumbe macho wakati wa kusoma.
 
Nick amesahau kuwa chama alichomaanisha Katibu wake Mkuu bado ni yule yule tangu mageuzi yaanze nchini. Kumbuka mgombea pekee kwa nafasi ya urais ni huyo huyo. Ukipiga kofi shavu la kulia geuza na la kushoto pia. Vijana wa kujikomba wamejaa humu jf. Kuweni na msimamo wa kutopendelea upande wowote.
 
Dogo mmoja mkata mauno stejini....anajifanya real wakat ni fake.....


OVA
Kumbe mkata mauno? Acha aendelee tu. Hiyo business labda inamlipa baada ya kukataa kazi
 
Mbona Chadema mmekuwa wakali kama pilipili au Mbowe ni mwenyekiti wa kudumu?
 
Back
Top Bottom