masopakyindi
Platinum Member
- Jul 5, 2011
- 18,761
- 14,860
Wahenga walisema masaa 24 katika siasa ni muda mrefu sana.
Lakini katika siku na wiki za hivi karibuni tumeshuhudia jinsi CUF inavyozidi kudidimia na kukosa sura ya kuitwa chama cha siasa chenye ushawishi nchi nzima. Kitendo cha CUF-Zanzibar kuwa na mgongano mkubwa na CUF-Tanganyika knaanza kuleta sura isiyotegemewa katika chama hicho.
CUF-Zanzibar mhimili wake ni katika ungozi wa Maalim Seif na wafuasi wake ambao hawasikii la muidhini wala shehe mwingine. CUF-Tanganyika inaanza kuonekana ina ongozwa na Prof Lipumba. Jaribio la CUF -Zanzibar kumweka Mtatiro, ambaye anaonekana kuwakibaraka wao, linaelekea kuwa limegonga mwamba.
Sioni jinsi CUF kuendelea kuwa chama cha kitaifa, bali pengine kuwa vyama viwili katika kila upande wa muungano.
Naomba kuwasilisha.