Nick wa pili karusha dongo kwenye chama fulani

Nick wa pili karusha dongo kwenye chama fulani

Uelekeo wa usomi wake ni uprofesa wa lipumba,kashindwa kujitambua anatumika fiesta kwa malipo finyu,msomi hewa huyu jamaa
Dogo anajiona msomi na wakimpa promo ndio anazidi kuwa na ujuaji mwingi, kusoma na kuelewa mambo ni vitu viwili tofauti yaani ameshindwa kujiondoa kwenye minyororo ya unyonyaji
 
Alimaanisha udp ya cheyo, tangu chama hiki kianzishwe mwenyekigoda ni yeye tu.
 
Anajifanya anatuahamasisha vijana tuwe wajasiriamari wakati ye kutwa karundikwa kwenye coaster! AANZE kwanza ye kujikomboa kifrikira kwanza.
 
Naona ccm wameanza taratibu kutumia vibaraka wao kumtengenezea njia Juma ya kujitangaza mtawala wa milele,hamtafanikiwa,KITAWAKA MBAYA.
 
Kiukweli SIJAWAHI ona msomi anaikubali CHADEMA toka wabadili gia angani, HAMNA msomi anayeikubali, Nicki yuko sahihi kabisa.
 
"Kama chama flani Mwenyekiti yule yule miaka yote, sijui kwanini anachukia chama flani pia kutawala miaka yote..Demokrasia huanza na wewe". Nick wa Pili

Source east africa radio

NB: Mimi binafsi sijaelewa chama alichomaanisha

Hahaaaaa, Nyundo ya Utosini hii.
 
We kweli nyumbu. Chadema walau imebadili mwenyekiti mara moja. Cheki udp huko na cuf katibu mkuu. Yote tisa. CCMScrow eala hakuna uchaguzi wa mkiti
Ushuhuda huu wa upumbavu wa bavicha, hela ya escrow inaingiaje?? Unashindwa hata kwenda na flow!! Si ajabu kesho mnaenda badilishiwa tena gia angani na kamanda wenu. Udp angalau wana msimamo, hapa hatupepesi macho wala kumung'unya maneno, aliyesemwa hapa ni FREEMAN AIKAEL MBOWE, mwenyekiti wa chadema ambaye yeyote anayeonyesha dalili za kumchallange anawachezea akili bavicha mumuite huyo mtu msaliti.
 
"Kama chama flani Mwenyekiti yule yule miaka yote, sijui kwanini anachukia chama flani pia kutawala miaka yote..Demokrasia huanza na wewe". Nick wa Pili

Source east africa radio

NB: Mimi binafsi sijaelewa chama alichomaanisha
Huyo niki wa pili ndio nani hasa katika nchi hii?

Some nonenties ain't worth this public attention.
 
Back
Top Bottom