Recent content by mboga TZ

  1. mboga TZ

    JamiiForums Tanzania Kwetu ujenzi tunaufanya kwa viwango vya hali ya juu

    Tunapatikana kwq namba 0757735884 kupiga na whatsApp
  2. mboga TZ

    JamiiForums Tanzania Kwetu ujenzi tunaufanya kwa viwango vya hali ya juu

  3. mboga TZ

    JamiiForums Tanzania Donald Trump: Kuanzia sasa Serikali ya Marekani itatambua jinsia mbili pekee, Mwanaume na Mwanamke

    Inavoonesha lijamaa halina utani kwenye hilo swala,nina clasmate yuko huko nimeona kapost status whataspp anarudi nyumbani anawalaumu joe na kamala
  4. mboga TZ

    JamiiForums Tanzania Huyu Hapa ndo aliyeokoa maisha ya Tundu Lissu pale Dodoma, sio Mbowe

    Ti Tltle ya kinyakyusa hyo
  5. mboga TZ

    JamiiForums Tanzania Engine oil gani ni nzuri kwa Gari aina ya IST?

    Mazda Verisa je ipi ni oil nzur ya kutumia
  6. mboga TZ

    JamiiForums Tanzania Ukiagiza bidhaa au gari na ukakwama ushuru ni vyema baada ya gari kufika ukapeleka Bonded Warehouse

    Nina swali mkuu ,hivi ukilipia gari bei yake na ushuru kwa pamoja kuna shida yoyote?na kipi bora kulipia ushuru bandarin ikishafika au kufanya malipo yote siku ikiwadia ni kuchukua tu gari.
  7. mboga TZ

    JamiiForums Tanzania Wakuu hivi mnawezaje kuishi na watu ambao hawajanyooka kwenye baadhi ya mambo

    Mtoa mada hujapishana na mimi kabisa,nishagombana na watu wengi sababu ya ubabaishaji kazi ninayofanya inahusisha kuchukua pesa za mabosi na boss ukishachukua pesa yake anataka aone matokea sio brabra tena kuepusha hayo nafanya kazi na watu wazima kidogo alie na familia kidgo angalau
  8. mboga TZ

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi kijana unaejielewa inakuaje hadi unaoa single mother?

    Usijidanganye kaka ,huyo single mother anajua aliko mwenzie wanawake ni viumbe tata
  9. mboga TZ

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mume kabamba WhatsApp message zangu kwenye simu ya mkewe

  10. mboga TZ

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mume kabamba WhatsApp message zangu kwenye simu ya mkewe

    Anawadanganya wenzie ,kijana mke wa mtu muogope kama ukoma siku kikinuka huko kubwabwaja kwake hutosikia atakuwa tuli
  11. mboga TZ

    JamiiForums Tanzania Poleni sana wote mliopata majanga kwenye ajali ya mabasi ya Premier na Kapricon

    Wamerudi kwa kasi sana nawaona tipa ziko bize road
  12. mboga TZ

    JamiiForums Tanzania Tuweke orodha ya simu zenye kamera nzuri zaidi

    Tafuta real me GT master edition ujionee mwenyewe
  13. mboga TZ

    JamiiForums Tanzania Je, kuna uhusiano wotote kati ya nyumba unayoishi na kufunguka mambo yako?

    Usinikumbushe machungu ,acha kabisa Niliishia kumiliki tv tu miaka mitatu aisee Cha ajabu nilivyohama tu ile nyumba nashukuru dalali kwa kunipeleka maana ilibadilisha Kira kitu
  14. mboga TZ

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nataka kuzaa kabla ya kuoa umri unaenda, naombeni ushauri

    Hao waliokuambia wanajuta sio masihara wala uongo juzi tu nimetoka kuambiwa na braza alieoa huku anamtoto mmoja wa nje baadae wakakubaliana na mkewe wamchukue mtoto ,wamekaa nae miaka miwil Moto umeanza mwaka huu mkewe anamtimua mtoto wa bro nyumban na bro yuko mkoa mwingine kikaz na bro...
  15. mboga TZ

    JamiiForums Tanzania Ni movies zipi ambazo regardless na muda hauwezi kuja kuchoka kuziangalia?

    1.safe house 2.born identify zote 3.prison break 4.colombiana
Back
Top Bottom