Aisee wapo wengi tu siwezi kukutajia majina kwa sababu ya privacy alafu freshman msanii mwenye level ya diamond yupo peke yake huyo kiba tu hajafika level hiyo waajiriwa wa sector rasmi serikali ni 700,000 sector binafsi rasmi ni 1,400,000 sector binafsi isiyo rasmi ni almost 20,000,000 people...
Ndo anakosea kufananisha kuna mamilioni ya watu kama babu tale na diamond hapa bongo ambao for years wamepambana na hawajatoboa nataka appreciate kuwa kwa bongo elimu inatoa kuliko sector Nyingine yoyote
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.