Taja jina la movie ulioitazama zaidi ya mara 5 lakini bado hujaichoka

The last birial
The President's son
Zote zinapatikana YouTube
 
EASTERN CONDORS yaani ile movie ni balaa sijawahi kuichoka kila nikipata muda huwa naicheki na hasa nikiwa safarini coz ninayo kwenye laptop yangu basi safari kwangu huwa fupi sana.
 
Tears of the Sun
Nairobi half life
Viva Riva
Blood Diamond
Queen of Katwe
Sikitiko Langu (rip Kanumba)
Sarafina
Rambo IV
Kagera War
Lone survivor
Deadly Platoon
We were soldiers
Saving private Rian
Undisputed redemption III
Ongbak 3
 
Back
Top Bottom