Kiwanja kina hati kabisa kinauzwa Mabwepande, kina ukubwa sqm 447.Kinapatikana Mabwepande Bar mpya,kinafaa kwa ajili ya biashara au makazi sababu kipo barabarani.
Bei yake ni 11,000,000 anayehitaji tuwasiliane kwa namba 0677089280
Kiwanja kinauzwa,kipo Mabwepande (Bar Mpya), km 4 toka Bagamoyo Road Bunju,
Kina Sqm 447,
Kina Hati (Title Deed).
Bei ni Tshs.14,000,000.
Kwa maongezi piga simu namba 0677089280.
Hii ni mfumo wa fern moja.Kulingana na ufafanuzi wa wadau inawezekana ni tatizo la head gasket au A.C Compressor.Inabidi kwanza nicheki hivyo vitu then nije na mrejesho.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.