M Mbikiboy Member Feb 15, 2019 90 86 Oct 3, 2021 #1 Wakuu naomba kujua bei ya mzani mkubwa mpya wa kupima uzito na urefu pamoja na upatikanaji wake.