Plot4Sale Kiwanja chenye hati kinauzwa Mapwepande, Baa mpya 14m

Mbikiboy

Member
Feb 15, 2019
90
86
Kiwanja kinauzwa,kipo Mabwepande (Bar Mpya), km 4 toka Bagamoyo Road Bunju,

Kina Sqm 447,
Kina Hati (Title Deed).
Bei ni Tshs.14,000,000.
Kwa maongezi piga simu namba 0677089280.

20210608_144517.jpg
 
Nini kimechangia kikashuka ghafla namna hiyo tena kwa tofauti ya Mill 6 ndani ya siku nne toka ulete tangazo lako..'?

Madalali huwa wanaweka bei za ajabu sana, kuna nyumba dalali alitangaza mil 80 ila baada ya week 2 bei ikashuka hadi 55. Huwa wanatafuta cha juu kupitiliza
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom