Recent content by mbeyatz

  1. M

    JamiiForums Tanzania Baada ya Magufuli, 2025 Makonda atatufaa sana kwasababu ana uthubutu kuliko hata JPM!

    Na wewe Umeanza kuvuta Bange sikuhizi..
  2. M

    JamiiForums Tanzania Bashe: Hali ya uchumi na mzunguko wa pesa ni mbaya, serikali isikie kilio na ijipange

    Kwa akili zako unadhani Rostam Aziz na Lowasa Wanaweza kufulia kiasi cha kulia.? Masikini bhana
  3. M

    JamiiForums Tanzania Prophecy Time: Taifa litayumba kwa kiburi chetu.

    Kwanini Leo Hujaandika Cheo Chako.. MTEMI KIONGOZI..
  4. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke wangu anunuliwa nguo za ndani na mwanaume

    Mkuu Wewe Ni Muuaji.. Tafuta histori ya ukoo wako kama kuna mtu amewahi kuua huko nyuma na kama yupo basi ujue we ndio umerithi.. Yaani Mkeo anunuliwe Chupi ukae kimya na usioneshe tofauti yeyote... Bila shaka unataka umuue..
  5. M

    JamiiForums Tanzania MKUYUNI, Mwanza: Mamba aliyekula watu 8 na mifugo auawa kwa mtego wa ndoano

    Futi 18 maana yake upange vitanda vi3 kwa urefu..
  6. M

    JamiiForums Tanzania Vita dhidi ya Dawa za Kulevya awamu ya Pili: RC Makonda awataja Mbowe, Manji, Gwajima, Idd Azzan...

    Mbona Naona Ameandika Philimon Mbowe ... Wa Chadema Najua Anitwa Freeman Mbowe..
  7. M

    JamiiForums Tanzania Taarifa ya Polisi Dar kuhusu wanaojihusisha na ‘UKUTA’

    Huyu jamaa nikiyaona macho yake natamani kumnyonya denda.
  8. M

    JamiiForums Tanzania RC Gambo: Tarehe 1, Sep kiumbe chochote kisithubutu kuandamana Arusha

    Hv hawa jamaa wapo sawa kichwani.?
  9. M

    JamiiForums Tanzania Hatimaye Tuzo za Uganda-2016.Eddy Kenzo is the winner. Diamond No!!

    Mnaomponda Eddy Kenzo mkumbuke Jamaa Kashnda hadi BET,. Tena alikua contested Mara Moja Tu Akashinda Mbele Ya Akina Davido., Huyo Diamond Kawa Contested Mara Mbili Zote Kapgwa chini.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Kitabu cha Kachero aliyetekwa Uganda kinapatikana wapi ?.

    Anayehitaji softcopy ya kitabu hiki kilichoadimika mtaani. Kitabu hiki kimeandikwa na HAYATI ABDU JUMBE, kinazungumzia Muungano wa Tanganyika Na Zanzibar na kilichojificha nyuma pazia. Cha Kiingereza:10,000/= Cha Kiswahili :15,000/= Unatumiwa kwa email. Pm, Kwa mawasiliano.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Mzee Aboud Jumbe na dhana ya muungano

    Anayehitaji softcopy ya kitabu hiki kilichoadimika mtaani. Kitabu hiki kimeandikwa na HAYATI ABDU JUMBE, kinazungumzia Muungano wa Tanganyika Na Zanzibar na kilichojificha nyuma pazia. Cha Kiingereza:10,000/= Cha Kiswahili :15,000/= Unatumiwa kwa email. Pm, Kwa mawasiliano.
  12. M

    JamiiForums Tanzania Anayehitaji softcopy ya kitabu cha the partnership

    Karibuni.
  13. M

  14. M

    JamiiForums Tanzania Tecno m3 ina miezi 2 toka itoke dukani + 50,000/=

    Hahahaha,,, Simu inauzwa 210000 dukan,imetumika kwa 2weeks na ina kila kitu chake kwenye box,kisha unasema parefu.. Hyo m3 dukani ni 110000,then we umeitumia kwa miez mi3 unadhan itakua na thaman ya kias ga.?
Back
Top Bottom