Civilian Coin
JF-Expert Member
- Dec 2, 2012
- 2,305
- 4,379
PROPHECY TIME.
Mkuu wa nyumba atayumba, mpishi wa chakula ametengwa, walaji watajiondoa kula chakula. mtumiaji mkuu wa chakula kinachopikwa na mpishi atashangaa kuona walaji wenzake wanakimbia na mkuu wa NYUMBA yeye kubaki peke yake. Watengaji wa chakula watakuwa busy na walaji wengine.
Washauri wote watamshangaa na kumsikitikia kwa kumtesa mpishi asiye na hatia.
Deogratius Nalimi Kisandu.,
Mtemi Kiongozi wa chama cha ACA tarajiwa.