Recent content by Mbeu

  1. Mbeu

    Arusha kupandisha Bendera yake?

    kijana show some little respect you have for the Chagga people!!!! there is no where kwenye hiyo habari mtu ametaja wachagga ndo wanataka kupandisha bendere!!! you are suffering from a cronic desease know as THE FEAR OF THE UNKNOWN!!! GROW UP AND MATURE!!! be a gentleman!!!
  2. Mbeu

    Mgao wa umeme wa kufa mtu watangazwa, Juni 2011 na kuendelea

    Nimechoshwa na hizi Disco light za TANESCO, its time for us Tanzanians to stand and keep the Government on its toes!!!!!!!!! kwa nchi makini serikali nzima ingetakiwa iwajibike kwa kujiuzulu!!!! J.K step down!!!!!!!!!!!
  3. Mbeu

    Lema alimpua Meya wa Arusha

    Hapo kwenye red, these fake leaders, who have never been to school do not know the meaning of politics, "politics is the live blood of Development", i think we should now consider the Level of Education before electing leader, who can not even define what politics is, to hell. Alafu tabia ya...
  4. Mbeu

    Nape na madai ya uchagga ndani ya CHADEMA

    huyu Jamaa analeta Siasa za Maji taka. we don't need cheap politics in Tanzania. bwana Nape unataka kuleta Ukabila Tanzania amakweli umefilisika kimawazo, hivi unafurahia nchi jirani wanavyo chinjana kwa Upuuzi wa UKABILA. Ndugu Watch out, neno tu linatosha kuchafua hali ya hewa.
  5. Mbeu

    Rostam, Bashe watangaza vita na JK, wamuita naye fisadi

    wonders will never end! hivi unaweza kumwita mtu Mwizi alafu wewe mwenyewe ni Jambazi, hivi Mzee wa Kaya anawezaje kutumia indirect means kuwa attack marafiki (COMRADES IN CORRUPTION), SI WATAMLIPIUA!!!! My prayers Wamlipue Maana analeta SIASA za Uswahilini a.k.a Mpasho. :behindsofa: ADUI YAKO...
  6. Mbeu

    Sitta leaves CCM, joins Chadema

    By DAILY NEWS Reporter, 31st March 2011 @ 20:00, Total Comments: 0, Hits: 302 VETERAN CCM politician and East African Cooperation Minister Samuel John Sitta on Thursday announced that he was joining the opposition Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), citing his recent row with the...
  7. Mbeu

    LOWASSA ni tishio

    for you own good Lowasa ana kadegree cha tamthilia na kamasters ka Development study, hana elimu ya kutisha kiivyo kama unavyo dhani, issue ya kuwa mropokaji ni kwamba, Dr Slaa always speaks sense, please my you allow me to question you integrity maana you are giving out baseless comments like a...
  8. Mbeu

    EU: CHADEMA funding claim a lie

    Wana JF tatizo la nchi yetu ni moja The Big Boy 'brown boy' in White house, anachaguwa ministers ambao ni EDUCATED FOOLS, people who got bonus GPA at the Uni and colleges. people who speak without REASONING e.g SS & Maembe, it is time to EMPLOY MINISTER WHO ARE NOT MPs. out here we have men and...
  9. Mbeu

    Lipumba awavaa viongozi CHADEMA

    kaka worry not wacha huyu educated fool aendelee kuiponda CDM, kwa kufanya hivyo ainakiongezea CHADEMA credit. huyu Prof Ubwabwa anatakiwa akisaidie kijiji chake kisicho na maendeleo ndo aje kuisaidia Tanzania as charity begins at home. tatizo la vijamaa kama wazee wa Gahawa ni njaa alafu...
  10. Mbeu

    Eti Kikwete acharuka!

    BIG UP TO CHADEMA, sasa Bwana MKUBWA anajitahidi japo kidogo akaze kamba Kufuatilia mambo CDM endeleeni kuplay part yenu ya KUIWEKA SERIKALI JK on ITS TOES, BIG UP to Kamanda wa Anga Freeman Mbowe na Dr. Slaa, hiyo ndo kazi tuliyo watuma.
  11. Mbeu

    Eti Kikwete acharuka!

    Wewe raia wa Tanzania! JK ni JK, Mkapa ni Mkapa, Mwinyi ni Mwinyi, the past is rotten huu ni wakati wa kuface real situation sio wakati wa kufanya comparison, we are suppose to face real problems sio kufanya COMPARISON KAMA MAZUZU. hii ni karne ya 21. we tanzanians need to be REAL and Face Real...
  12. Mbeu

    Serikali yakanusha 'kujiuzulu' kwa Magufuli

    haka kajamaa kanakuwaga strict sana kwenye bomoa bomoa mbona hakachukui hatua ya kujizungumzia Chenyewe, kako strict sana kanatakiwa kawe strict hivyo hivyo badala ya kumwachia katibu mkuu wake kumzungumzia Its Rediculous, au analinda Ugali yeye ni Interllectual anatakiwa asimame mwenyewe, kuna...
  13. Mbeu

    Kardinali Pengo: Kanisa litasema kweli bila kuogopa gharama!

    the people who are going to turn this country into Gaza are Muslims, you guys lack the knowledge of Religious tolerance, is it because you do not HAVE enough education to equip YOU in reasoning, when are you going to stop insulting our religious leaders. dont you think this country have been...
  14. Mbeu

    Hofu ya CCM ni kwa CHADEMA kuwa na pesa?

    wabongo kwa MIPASHO na USHAMBENGA hawajambo! ehe! tuambie huo udaku wa kuwa CDM inafadhiliwa na wazungu umetoa wapi Wacheni Mipasho ndugu zangu!
  15. Mbeu

    Ndesamburo kusafirisha wananchi bure kwenda Loliondo

    real people like Ndesa will always live in our heart even though his life is over, live long Ndesamburo. The so call tycoons need to copy from this Mzee he is a true MZALENDO. May God Almight grant you more days on planet earth, aika mmeku!
Back
Top Bottom