Natumaini mmeamka salama, kulingana kichwa cha habari hapo juu Naomba kwa yeyote anayejua shule nzuru ada yake iwe milioni moja kuja chini anijulishe, pia kama ana mawasiliano ya shule anipe. Nawatakia asubuhi njema.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndugu zangu wana Jami foram kuna tetesi kuwa wanafunzi wa kidato cha tano chaguo la pili wameshatamgazwa,yeyote mwenye ukweli anijuze.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanza nakupongeza kwa msimamo wako kama ni kweli unavyosema.Ushauri wangu mweleze mke wako ishu yote toka mwanzo hadi sasa na umwambie mkeo asimfanye jambo lolote walakumwonyesha dalili yoyote, endapo ataendele kukufatilia na kukupigia simu ili ili uende sehemu alipo mwambie unakuja kisha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.