Sababu za serikali kubadili sifa za kada za afya

Kizibo255

JF-Expert Member
Jan 4, 2011
514
372
Kwa wale ambao mmepitia tovuti ya nacte mtakuwa mmeona kuwa kwa mwaka huu wa masomo 2017/2018 sifa za kujiunga zimebadilika sana hasa kwa ngazi ya cheti ukitokea kidato cha nne.

nimebahatika kuongea na mdau mmoja ambae anatengeneza mitaala ya afya akiwa mkuu wa chuo fulani na ameniambiakuwa:

Serikali imeadili sifa ambazo kwa zamani zilikuwa ni sifa za Stashada(Diploma) na kuwa za certificate. Kimsingi ni kuwa SIFA HAZIJABADILIKA. Wanafunzi wamepewa uwanja mpana wa kuamua kuendelea na Diploma au kuishia na certificate pindi watakapokamilisha miaka miwili.

Tuelewane hapa: Mwanafunzi akimaliza miaka miwili ya certificate ataamua AMALIZIE MWAKA MMOJA ILI AWE DIPLOMA HOLDER AU AISHIE HIYO MIWILI AWE CERTIFICATE HOLDER na akitaka diploma atakuja kumalizia mwaka mmoja aliouacha njiani kwa sababu sifa anazo.

KUHUSU VYUO VISIVYO NA SIFA ZA KUTOA DIPLOMA. Chuo kisicho na uwezo wa kutoa Diploma kitalazimika kuhamisha wanafunzi watakaotaka kuendelea na Diploma kwenda kwenye chuo chenye uwezo na mafunzo hayo.

Kwahiyo chuo kinachotoa certificate mfn: uuguzi kitachukua wanafunzi kama kawaida kwa sifa za sasa lakini kitaishia kutoa level ya certificate(miaka 2) LAKINI kwa wanafunzi watakao taka kuendelea itawalazimu kuwahamishia chuo cha diploma ili wakamalizie mwaka wao mmoja uliobaki.

KUHUSU WANAFUNZI WALIOPO VYUONI: hao wanaendelea na masomo kama kawaida (Miaka miwili na hawana sifa za kuendelea na diploma lada kwa mfumo wa sasa(in service) wa miaka miwili mpaka watakapoisha sokoni ndipo mfumo huu utakuwa umejifuta rasmi

Nitarudi baadae kujibu maswali kama yatakuwepo
 
Hivi udahili wa mwaka huu ktk kozi za afya kwenye vyuo vya serikal utaratibiwa na nacte au wizara ya afya?sielewi kabisa
 
udahili wa nacte kwa vyuo vya serikali unafanyika kwenye institutional pannel chuo husika au mtandaoni. Vyuo binafsi udahili inafanyika hukohuko vyuoni
 
Form four anaweza kusoma FTC kwa miaka mitatu na sio miwili

14d892853b522a76d2879fffdfe9377d.jpg
 
1c77a11ef6a1225823c50cb701822dea.jpg
e9101eae2fc50a32d4dcfbdf3aecde25.jpg
Angalia "duration"
Kwenye hzi kada za afya certificate yao n miaka miwili ni tofauti na hizo kada nyingine ambayo certificate yao n Mwaka mmoja ambayo inaitwa basic certificate technician na kwa diploma ndo inaitwa full technician certificate
 
Kwenye hzi kada za afya certificate yao n miaka miwili ni tofauti na hizo kada nyingine ambayo certificate yao n Mwaka mmoja ambayo inaitwa basic certificate technician na kwa diploma ndo inaitwa full technician certificate
FTC na Ordinary Diploma ni vitu viwili tofauti. Na kila mmoja ana vigezo vyake vya kusoma Degree.
 
Back
Top Bottom